Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017
Cha 2018 icho kinakuja kama sio Salah basi tutambamiza bwana wenu As roma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au mnabisha wakuu
We unazungumzia yaliyopita! Angalieni mwaka huu mnaweza mkavuna zero
Kwahiyo ndo hivyo wakuu[emoji23]. Najua habari mnazoVamosssssssssssssss...
Tumeshawabamiza wajerumani tunawangoja Waingereza Tuchukue mwaka wa 3 degree ya UEFA[emoji39][emoji146]