Lili masta
Member
- Mar 22, 2020
- 19
- 12
Dah
Ligi Kuu ya Spain La Liga, imehairishwa moja kwa moja msimu huu. FA ya Spain imesema haiwezi kuendelea na msimu huu wa Ligi kwa muda usiojulikana.
La Liga imechukua hatua hiyo, baada ya hapo awali kuisimamisha Ligi kwa muda wa week 2, hatua hii imekuja kutokana na hali ya Maradhi ya Covid -19, yanatokana na virusi vya Corona jinsi ilivyo nchini Hispania.
Taarifa inasema kuwa, Ligi inaweza kurudi pale tu ikiwa Serikali ya nchini Hispania itasema kuwa michezo irejee tena. Ila kwa upande wa La Liga, wameisimamisha moja kwa moja Ligi ya msimu huu.
Timu ya Arsenal wameyafuta mazowezi yao ya timu, waliyoyapanga kuyanza ndani ya Week hii, kutoka na hatarisho la Maradhi ya Covid -19. The Gunnars wamewataka wachezaji wao kuendelea kubakie Majumb
Dah! Sasa sisi wazee wa betting tabu sana hiiLigi Kuu ya Spain La Liga, imehairishwa moja kwa moja msimu huu. FA ya Spain imesema haiwezi kuendelea na msimu huu wa Ligi kwa muda usiojulikana.
La Liga imechukua hatua hiyo, baada ya hapo awali kuisimamisha Ligi kwa muda wa week 2, hatua hii imekuja kutokana na hali ya Maradhi ya Covid -19, yanatokana na virusi vya Corona jinsi ilivyo nchini Hispania.
Taarifa inasema kuwa, Ligi inaweza kurudi pale tu ikiwa Serikali ya nchini Hispania itasema kuwa michezo irejee tena. Ila kwa upande wa La Liga, wameisimamisha moja kwa moja Ligi ya msimu huu.
Timu ya Arsenal wameyafuta mazowezi yao ya timu, waliyoyapanga kuyanza ndani ya Week hii, kutoka na hatarisho la Maradhi ya Covid -19. The Gunnars wamewataka wachezaji wao kuendelea kubakie Majumbani mwao.