La Liga imeahirishwa moja kwa moja

La Liga imeahirishwa moja kwa moja

Dah
Ligi Kuu ya Spain La Liga, imehairishwa moja kwa moja msimu huu. FA ya Spain imesema haiwezi kuendelea na msimu huu wa Ligi kwa muda usiojulikana.

La Liga imechukua hatua hiyo, baada ya hapo awali kuisimamisha Ligi kwa muda wa week 2, hatua hii imekuja kutokana na hali ya Maradhi ya Covid -19, yanatokana na virusi vya Corona jinsi ilivyo nchini Hispania.

Taarifa inasema kuwa, Ligi inaweza kurudi pale tu ikiwa Serikali ya nchini Hispania itasema kuwa michezo irejee tena. Ila kwa upande wa La Liga, wameisimamisha moja kwa moja Ligi ya msimu huu.

Timu ya Arsenal wameyafuta mazowezi yao ya timu, waliyoyapanga kuyanza ndani ya Week hii, kutoka na hatarisho la Maradhi ya Covid -19. The Gunnars wamewataka wachezaji wao kuendelea kubakie Majumb
Ligi Kuu ya Spain La Liga, imehairishwa moja kwa moja msimu huu. FA ya Spain imesema haiwezi kuendelea na msimu huu wa Ligi kwa muda usiojulikana.

La Liga imechukua hatua hiyo, baada ya hapo awali kuisimamisha Ligi kwa muda wa week 2, hatua hii imekuja kutokana na hali ya Maradhi ya Covid -19, yanatokana na virusi vya Corona jinsi ilivyo nchini Hispania.

Taarifa inasema kuwa, Ligi inaweza kurudi pale tu ikiwa Serikali ya nchini Hispania itasema kuwa michezo irejee tena. Ila kwa upande wa La Liga, wameisimamisha moja kwa moja Ligi ya msimu huu.

Timu ya Arsenal wameyafuta mazowezi yao ya timu, waliyoyapanga kuyanza ndani ya Week hii, kutoka na hatarisho la Maradhi ya Covid -19. The Gunnars wamewataka wachezaji wao kuendelea kubakie Majumbani mwao.
Dah! Sasa sisi wazee wa betting tabu sana hii
 
Ligi ya msimu huu haiwezi kufutwa.
na alama zipo vile vile.
Liverpool anaweza kukosa ubingwa hivi hivi licha ya kusubiri karibu miaka 30...Kuna mtu humu jf alibashiri hivyo ingawa baadhi humu walimcheka...huku kwetu mikia wataomba wakabidhiwe kombe...hahahaha back to back champions...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani league ya uingereza ifutwe waanze upya...

Naombea La liga isifutwe
 
Back
Top Bottom