inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Klopp alishangaa kila siku mpira,timu haipumzikiWe jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza [emoji28][emoji28]
Waulize Liverpool walivyokutana na Villarreal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu
Mbona unatumia nguvu sana mwanamke mzuri ndio mwenye kufuatwa wewe uko kwenye promo sijui promo gani wanayofanya rights zao wanauza kwa bidding bwana ndio ujue kitu kina thamani hawauzi kama dukani. Kizuri kinajiuza tu promo gani wanayofanya? Mti mzuri ndio wenye matunda wewe una hiyari yako kama unaona La lIga kwako bora haki yako ila suitumie nguvu mimi na wengi tu ni EPL damu ndio league yetu ingekuwa uchaguzi tungepiga 90% votes. EPL kama maji ya kunywa tu utayanywa hata wachezaji wakienda kulala tu uwanjani utawatizama.ENDELEA KUJICHANGANYA.
EPL INA VUTIA KWA SABABU YA KUFATILIWA NA FANS WENGI KUTOKANA NA UWEKEZAJI WAO WANAOUFANYA KUANZIA KWENYE PROMOTION,WAWEKEZAJI KWENYE CLUB NDO MAANA HAPA TIMU NYINGI EPL ZIKO TOP 20 KWENYE RICHEST CLUB IN THE WORLD KU COMPAIRE NA LA LIGA AMBAKO TIMU MBILI TU NDO ZIKO JUU KIUCHUMI.
LA LIGA NI BORA KULIKO EPL MAANA WAKIKUTANA,MARA NYINGI MSHINDI ANATOKA LIGI YA LA LIGA.MBALI NA KULINGANISHA IDADI YA MAKOMBE ULAYA.
#mwanamke mzuri,anae vutia siyo kwamba ndiye anae kuwa na sifa za kuwa Mke bora.Unaweza ukawa mzuri na kuvutia lakini Isiwe bora
KabisaUnaweza kuenjoy kuangalia mechi mfano Brentford v Wolves, ila sio Osasuna v Cadiz
Very weak na haina ukweli.Sasa hiyo ni weak point,
Kwasababu gani??😂 mkuu hata vilaza ukiwaweka pamoja watashindana. Ndio kinachoendelea EPL, ni ligi yenye ushindani wa timu za kawaida
Hamna hiyo kitu, kila shabiki wa mpira kibongobongo ana timu epl na sio huko la liga.Haina ufundi watu wanacheza kama nguruwe zimeachiwa
Huyu si ndo aliyepigwa na Xavi 4-0???Yote Tisa kumi mzee ancelotti ni bonge la tactician
Kutoka Madrid ya kuunga unga mpaka bingwa wa laliga + UEFA cl
acha utani wa dharau basi...kwahiyo barcelona haijawahi kupata UEFA??Kwasababu gani??
La liga timu yenye makombe mengi ni hiyo madrid, hizo timu nyingine chali.
Lakini Epl vilabu kama 5 vyote vishawahi kutwaa hilo taji. Ukiachana na hilo timu za Epl zinaingia nyingi mpaka nusu fainali ilhali za laliga zinakata pumzi mapema tu.
Sijui mnaangalia nini kusema La liga ni bora kisa mako
Fanya research labda timu za mataifa mengine labda sio EPLTimu za EPL zikikutana na timu kutoka La Liga,timu za EPL chaliii mara nyingi.
Soma vizuri nimesema yenye makombe mengi!!acha utani wa dharau basi...kwahiyo barcelona haijawahi kupata UEFA??
Kwahyo mancity anaizidi Barcelona Kwa makombe?Soma vizuri nimesema yenye makombe mengi!!
Kwanini usiulize liverpool??Kwahyo mancity anaizidi Barcelona Kwa makombe?
kwani wingi unaanzia ngapi??tuanzie hapo kwanzaKwanini usiulize liverpool??
Mkuu au hufatilii kabisa mpira, maana hiyo mancity haijawahi kuchukua hiyo UEFA.
Au huwelewi tunazungumzia nini hapa??
Mzee unakaza ubongo sana.kwani wingi unaanzia ngapi??tuanzie hapo kwanza
Barcelona ana makombe mengiMzee unakaza ubongo sana.
Kwani wewe unasimamia nini maana hata sielewi unachobisha ni nini!!?
Kuna tofauti kubwa kati ya ligi bora na timu bora.Ubora wa ligi unatokana na ushindani wa timu za ligi husika zenyewe kwa zenyewe.Na ubora wa timu unaangaliwa kutokana mashindano inayocheza na uwekezaji wa timu husika.Kwa hali hiyo inawezekana ukawa na timu bora lakini usiwe na ligi bora.[emoji23] hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
Nadhani ni Liverpool vs Man united mkuu,hebu tafuta takwimu vizuri.EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.
LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.