La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

We jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza [emoji28][emoji28]
Klopp alishangaa kila siku mpira,timu haipumziki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa

Ligi ya ajabu ajabu
Waulize Liverpool walivyokutana na Villarreal
 
ENDELEA KUJICHANGANYA.

EPL INA VUTIA KWA SABABU YA KUFATILIWA NA FANS WENGI KUTOKANA NA UWEKEZAJI WAO WANAOUFANYA KUANZIA KWENYE PROMOTION,WAWEKEZAJI KWENYE CLUB NDO MAANA HAPA TIMU NYINGI EPL ZIKO TOP 20 KWENYE RICHEST CLUB IN THE WORLD KU COMPAIRE NA LA LIGA AMBAKO TIMU MBILI TU NDO ZIKO JUU KIUCHUMI.

LA LIGA NI BORA KULIKO EPL MAANA WAKIKUTANA,MARA NYINGI MSHINDI ANATOKA LIGI YA LA LIGA.MBALI NA KULINGANISHA IDADI YA MAKOMBE ULAYA.

#mwanamke mzuri,anae vutia siyo kwamba ndiye anae kuwa na sifa za kuwa Mke bora.Unaweza ukawa mzuri na kuvutia lakini Isiwe bora
Mbona unatumia nguvu sana mwanamke mzuri ndio mwenye kufuatwa wewe uko kwenye promo sijui promo gani wanayofanya rights zao wanauza kwa bidding bwana ndio ujue kitu kina thamani hawauzi kama dukani. Kizuri kinajiuza tu promo gani wanayofanya? Mti mzuri ndio wenye matunda wewe una hiyari yako kama unaona La lIga kwako bora haki yako ila suitumie nguvu mimi na wengi tu ni EPL damu ndio league yetu ingekuwa uchaguzi tungepiga 90% votes. EPL kama maji ya kunywa tu utayanywa hata wachezaji wakienda kulala tu uwanjani utawatizama.
 
😂 mkuu hata vilaza ukiwaweka pamoja watashindana. Ndio kinachoendelea EPL, ni ligi yenye ushindani wa timu za kawaida
Kwasababu gani??

La liga timu yenye makombe mengi ni hiyo madrid, hizo timu nyingine chali.
Lakini Epl vilabu kama 5 vyote vishawahi kutwaa hilo taji. Ukiachana na hilo timu za Epl zinaingia nyingi mpaka nusu fainali ilhali za laliga zinakata pumzi mapema tu.

Sijui mnaangalia nini kusema La liga ni bora kisa mako
 
Kwasababu gani??

La liga timu yenye makombe mengi ni hiyo madrid, hizo timu nyingine chali.
Lakini Epl vilabu kama 5 vyote vishawahi kutwaa hilo taji. Ukiachana na hilo timu za Epl zinaingia nyingi mpaka nusu fainali ilhali za laliga zinakata pumzi mapema tu.

Sijui mnaangalia nini kusema La liga ni bora kisa mako
acha utani wa dharau basi...kwahiyo barcelona haijawahi kupata UEFA??
 
Kwahyo mancity anaizidi Barcelona Kwa makombe?
Kwanini usiulize liverpool??
Mkuu au hufatilii kabisa mpira, maana hiyo mancity haijawahi kuchukua hiyo UEFA.
Au huwelewi tunazungumzia nini hapa??
 
Hapo kazi kubwa kaifanya anceloti, kaweza kuiunda timu na hamasa kwa wachezaji, kumbuka madrid wachezaji ni wakuungaunga na pia wakongwe ni wengi. Mtu kama benzema ulimuona alivyoimarika utadhani ni under 30 player
 
[emoji23] hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
Kuna tofauti kubwa kati ya ligi bora na timu bora.Ubora wa ligi unatokana na ushindani wa timu za ligi husika zenyewe kwa zenyewe.Na ubora wa timu unaangaliwa kutokana mashindano inayocheza na uwekezaji wa timu husika.Kwa hali hiyo inawezekana ukawa na timu bora lakini usiwe na ligi bora.
 
EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.

LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.
Nadhani ni Liverpool vs Man united mkuu,hebu tafuta takwimu vizuri.

Ila Real Madrid kupiga top 3 yote ya EPL pamoja na Bingwa wa Ufaransa,inafikirisha kiasi
 
Back
Top Bottom