La Liga ni bora kuliko EPL

Na wewe unasema la liga ni bora kuliko epl[emoji3][emoji3].

Haya bna wacha kila mtu abaki na yake, hatufiki muafaka hapa mkuu.
La Liga ni ligi bora kuliko EPL. Wenye kuujua mpira wanaelewa hivyo. Usiendeshwe na mahaba uliyonayo kwa EPL. Kila mtu hapa anafuatilia zaidi EPL lakini ukweli mchungu ni kuwa EPL iko chini ya La Liga kwa ubora.
 
Hata ligi ya Ubelgiji ina ushindani mkubwa mno.
[emoji23][emoji23] hawatakuelewa hawa watu. Wameng'ang'ania ushindani wakati hauwasaidii kitu. Wakienda kwenye michuano ya wababe Ulaya wanabondwa.
 
@nyerere
dos.2020 nafikiri umeeleweshwa vizuri apo juu [emoji115][emoji115]
 
Sahihi kabisa
 
Hawawezi kukuelewa fans wa barcelona
 
Huo ushindani unazisaidia nini timu za EPL? Mbona zikikutana na timu za La Liga huwa mara nyingi zinapigwa?
Unaelezea matokeo ya ushindani au ubora wa ligi? Elewa kwanza maana ya ligi, au badili heading uweke iendane na maelezo. Uzi wako mwenyewe unakuchanganya!
 
Hata ligi ya Ubelgiji ina ushindani mkubwa mno.
Umesema la liga haifuatiliwi, sasa hata hiyo ligi ya Belgium haifuatiliwi pia. Tukizifuatilia pengine huenda tunaweza kubaini ya Belgium ndo bora zaidi!
 
La Liga ni ligi bora kuliko EPL. Wenye kuujua mpira wanaelewa hivyo. Usiendeshwe na mahaba uliyonayo kwa EPL. Kila mtu hapa anafuatilia zaidi EPL lakini ukweli mchungu ni kuwa EPL iko chini ya La Liga kwa ubora.
Ubora gani mkuu, weka facts sio janjajanja za timu moja.
Yaani timu moja inaibeba ligi nzima.
Acheni uzwazwa basi mashabiki wa barca na madrid.
 
@nyerere
dos.2020 nafikiri umeeleweshwa vizuri apo juu [emoji115][emoji115]

Fernando Jr Vishu Mtata


Kwa kigezo cha Takwimu zenu toka 2000 Epl timu 6 zimebeba kombe, La Liga timu 4 zimebeba kombe, Serie A timu 5 zimebeba kombe, Ligue One timu 8 zimebeba kombe, na Bindesliga timu 5 zimebeba kombe.

Kwahiyo kwa mujibu ya Logic yenu French League ndio ligi bora na yenye ushindani zaidi mana ndio waliotoa mabingwa wengi zaidi kwa hicho kipindi.
 
Waamboe hao
 
Umewaumbua mkuu, hawatarudi tena 😂😂
 
Nafikiri Vishu Mtata ametoa hiyo kama sifa moja tu, kati ya sifa kadhaa nawe umeibeba kama vile kamaanisha ndo kigezo pekee cha ubora wa league. Hizo takwimu umezitaja za league 1 ni nzuri.

Lakini ishu nyingine, angalia huko akina PSG na Bayern Munich kama ilivyo kwa Real Madrid na Barcelona, wameshajimilikisha hayo makombe kiasi cha kukera! Nani anayependa burudani atafuatilia league ilhali anajua bingwa wa msimu ni nani kabla hata ya msimu kuanza?
 
Humjui president wa La liga? kazi ipo. Unawezaje kuwa mzuri lakini huvutii lakini mbaya unavutia mbona unajichanganya. Mzuri lazima avutie
Mfano mzuri ni real madrid msimu huu,
Amekua mzuri Sana na kutwa mataji, ila uchezaji wake kiukweli hauvutii
 

Mkuu ndani miaka mitano (5) City amebeba taji mara 4. Je wao pia hawajajimilikasha?
 
Mkuu ndani miaka mitano (5) City amebeba taji mara 4. Je wao pia hawajajimilikasha?
Hawa wafia EPL hawawezi kukuelewa. Wanajitoa ufahamu wakati ukweli uko uchi kabisa. La Liga ni baba lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…