Nephew
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 256
- 295
[emoji23][emoji23] ni shida sana hawa watu, wamekazania ushindani wakati hata Uturuki huko upo. Timu zao zikikutana na wababe Ulaya zinaangukia pua.Washabiki wa EPL ni wendawazimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] ni shida sana hawa watu, wamekazania ushindani wakati hata Uturuki huko upo. Timu zao zikikutana na wababe Ulaya zinaangukia pua.Washabiki wa EPL ni wendawazimu.
La Liga ni ligi bora kuliko EPL. Wenye kuujua mpira wanaelewa hivyo. Usiendeshwe na mahaba uliyonayo kwa EPL. Kila mtu hapa anafuatilia zaidi EPL lakini ukweli mchungu ni kuwa EPL iko chini ya La Liga kwa ubora.Na wewe unasema la liga ni bora kuliko epl[emoji3][emoji3].
Haya bna wacha kila mtu abaki na yake, hatufiki muafaka hapa mkuu.
[emoji23][emoji23] hawatakuelewa hawa watu. Wameng'ang'ania ushindani wakati hauwasaidii kitu. Wakienda kwenye michuano ya wababe Ulaya wanabondwa.Hata ligi ya Ubelgiji ina ushindani mkubwa mno.
@nyerereNimetoka kucheki rekodi hapa kutoka mwaka 2000.
Valencia kachukua mara 2
Atletico kachukua mara 2
Kwa hiyo misimu yote karibu 20 barca na madrid hawajachukua mara 4 tu nyingine zote 16 ni hizo timu 2 kupokezana tu.
Epl kuanzia 2000 waliochukua ni hawa
Man u kachukua, Arsenal kabeba, Leicester kabeba, chelsea kachukua, liver kabeba , man city kabeba. Timu 6 zote lakini hiyo ligi yako ni timu 2 tu zinapokezana.
Si ajabu msimu ujao timu ikaibuka epl na ikachukua ubingwa lakini sio kwa hao watawala wawili.
Sahihi kabisaNimetoka kucheki rekodi hapa kutoka mwaka 2000.
Valencia kachukua mara 2
Atletico kachukua mara 2
Kwa hiyo misimu yote karibu 20 barca na madrid hawajachukua mara 4 tu nyingine zote 16 ni hizo timu 2 kupokezana tu.
Epl kuanzia 2000 waliochukua ni hawa
Man u kachukua, Arsenal kabeba, Leicester kabeba, chelsea kachukua, liver kabeba , man city kabeba. Timu 6 zote lakini hiyo ligi yako ni timu 2 tu zinapokezana.
Si ajabu msimu ujao timu ikaibuka epl na ikachukua ubingwa lakini sio kwa hao watawala wawili.
Hawawezi kukuelewa fans wa barcelonaNi liver pekee ndo imemshinda.
Na kama kigezo ni UEFa bado epl ni bora coz timu zake 4 zimebeba hilo kombe, haya huko la liga ni timu ngapi kwenye hiyo ligi zimebeba UEFA?? Jibu ni timu mbiliii tuu
Nshakwambia hiyo ligi ina timu 2 bora ila sio ligi bora kijana, elewa hilo.
Nadhani wewe ni shabiki wa barca huwa ni wabishi sana nyie [emoji3][emoji3]
Unaelezea matokeo ya ushindani au ubora wa ligi? Elewa kwanza maana ya ligi, au badili heading uweke iendane na maelezo. Uzi wako mwenyewe unakuchanganya!Huo ushindani unazisaidia nini timu za EPL? Mbona zikikutana na timu za La Liga huwa mara nyingi zinapigwa?
Umesema la liga haifuatiliwi, sasa hata hiyo ligi ya Belgium haifuatiliwi pia. Tukizifuatilia pengine huenda tunaweza kubaini ya Belgium ndo bora zaidi!Hata ligi ya Ubelgiji ina ushindani mkubwa mno.
Ubora gani mkuu, weka facts sio janjajanja za timu moja.La Liga ni ligi bora kuliko EPL. Wenye kuujua mpira wanaelewa hivyo. Usiendeshwe na mahaba uliyonayo kwa EPL. Kila mtu hapa anafuatilia zaidi EPL lakini ukweli mchungu ni kuwa EPL iko chini ya La Liga kwa ubora.
@nyerere
dos.2020 nafikiri umeeleweshwa vizuri apo juu [emoji115][emoji115]
Waamboe haoFernando Jr Vishu Mtata
Kwa kigezo cha Takwimu zenu toka 2000 Epl timu 6 zimebeba kombe, La Liga timu 4 zimebeba kombe, Serie A timu 5 zimebeba kombe, Ligue One timu 8 zimebeba kombe, na Bindesliga timu 5 zimebeba kombe.
Kwahiyo kwa mujibu ya Logic yenu French League ndio ligi bora na yenye ushindani zaidi mana ndio waliotoa mabingwa wengi zaidi kwa hicho kipindi.
Umewaumbua mkuu, hawatarudi tena 😂😂Fernando Jr Vishu Mtata
Kwa kigezo cha Takwimu zenu toka 2000 Epl timu 6 zimebeba kombe, La Liga timu 4 zimebeba kombe, Serie A timu 5 zimebeba kombe, Ligue One timu 8 zimebeba kombe, na Bindesliga timu 5 zimebeba kombe.
Kwahiyo kwa mujibu ya Logic yenu French League ndio ligi bora na yenye ushindani zaidi mana ndio waliotoa mabingwa wengi zaidi kwa hicho kipindi.
Nafikiri Vishu Mtata ametoa hiyo kama sifa moja tu, kati ya sifa kadhaa nawe umeibeba kama vile kamaanisha ndo kigezo pekee cha ubora wa league. Hizo takwimu umezitaja za league 1 ni nzuri.Fernando Jr Vishu Mtata
Kwa kigezo cha Takwimu zenu toka 2000 Epl timu 6 zimebeba kombe, La Liga timu 4 zimebeba kombe, Serie A timu 5 zimebeba kombe, Ligue One timu 8 zimebeba kombe, na Bindesliga timu 5 zimebeba kombe.
Kwahiyo kwa mujibu ya Logic yenu French League ndio ligi bora na yenye ushindani zaidi mana ndio waliotoa mabingwa wengi zaidi kwa hicho kipindi.
Nawe umechotwa! Barcelona bhana!Umewaumbua mkuu, hawatarudi tena [emoji23][emoji23]
Mfano mzuri ni real madrid msimu huu,Humjui president wa La liga? kazi ipo. Unawezaje kuwa mzuri lakini huvutii lakini mbaya unavutia mbona unajichanganya. Mzuri lazima avutie
Nafikiri Vishu Mtata ametoa hiyo kama sifa moja tu, kati ya sifa kadhaa nawe umeibeba kama vile kamaanisha ndo kigezo pekee cha ubora wa league. Hizo takwimu umezitaja za league 1 ni nzuri.
Lakini ishu nyingine, angalia huko akina PSG na Bayern Munich kama ilivyo kwa Real Madrid na Barcelona, wameshajimilikisha hayo makombe kiasi cha kukera! Nani anayependa burudani atafuatilia league ilhali anajua bingwa wa msimu ni nani kabla hata ya msimu kuanza?
Hawa wafia EPL hawawezi kukuelewa. Wanajitoa ufahamu wakati ukweli uko uchi kabisa. La Liga ni baba laoMkuu ndani miaka mitano (5) City amebeba taji mara 4. Je wao pia hawajajimilikasha?