La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,

auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka

ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED
 
Hahaa.. watu mna vituko sana aseee. Yaan Laliga ni bora kuliko EPL, Kwa kigezo gani hasa? Haya twende pamoja hapa

1. Kwa kigezo cha Madrid kuzifunga timu za top 3 ya EPL wala sio kigezo cha ubora wa LaLiga bali ni ubora wa timu moja. Jiulize ni timu ngapi za LaLiga walau zimetetemesha kwenye UCL hata kufika hatua nzuri.

2. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL basi turudi msimu uliopita EPL imeingiza fainali timu zote huku Chelsea akimbamanda huyo Madrid kwenye semi's na Atletico Madrid kwenye quarter's

3. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL hebu rudi nyuma misimu 6 uone jinsi timu za EPL zinavyofanya vizuri huko UEFA. Halafu sasa ni timu tofauti tofauti Chelsea, Liver, Man City, Spurs na wakati LaLiga ni timu mbili tu mara nyingi ni Real Madrid, halafu wanaanza kubadilishana mara Sevilla, Atletico au Barca.

Hakuna namna unaweza kunishauri LaLiga ni bora kuliko EPL

1. EPL
2. LaLiga
3. Seria A
4. Bundesliga
5. Ligue 1

Hiyo ni kulingana na vyanzo mbalimbali vya kutoa taarifa za kuaminika kuhusiana na michezo

Mkuu La Liga ni ligi bora zaidi ya EPL, michuano ya UEFA inasupport hii hoja. EPL ni ligi yenye msisimko na ushindani tu lakini si bora kuzidi La Liga
La liga ina timu kadhaa ambazo ni bora lakini sio ligi bora.
La liga haina ushindani kama EPL, ubora wa ligi ni ushindani bro.

Kwa saivi ndo inajitahidi kuikaribia EPL .
 
Hahaa.. watu mna vituko sana aseee. Yaan Laliga ni bora kuliko EPL, Kwa kigezo gani hasa? Haya twende pamoja hapa

1. Kwa kigezo cha Madrid kuzifunga timu za top 3 ya EPL wala sio kigezo cha ubora wa LaLiga bali ni ubora wa timu moja. Jiulize ni timu ngapi za LaLiga walau zimetetemesha kwenye UCL hata kufika hatua nzuri.

2. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL basi turudi msimu uliopita EPL imeingiza fainali timu zote huku Chelsea akimbamanda huyo Madrid kwenye semi's na Atletico Madrid kwenye quarter's

3. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL hebu rudi nyuma misimu 6 uone jinsi timu za EPL zinavyofanya vizuri huko UEFA. Halafu sasa ni timu tofauti tofauti Chelsea, Liver, Man City, Spurs na wakati LaLiga ni timu mbili tu mara nyingi ni Real Madrid, halafu wanaanza kubadilishana mara Sevilla, Atletico au Barca.

Hakuna namna unaweza kunishauri LaLiga ni bora kuliko EPL

1. EPL
2. LaLiga
3. Seria A
4. Bundesliga
5. Ligue 1

Hiyo ni kulingana na vyanzo mbalimbali vya kutoa taarifa za kuaminika kuhusiana na michezo

Kipimo chao kikubwa ni madrid kuchukua UCL mara 14 na kuwapiga hizo top 3 basii.
 
Epl inapendwa na ni bora maana timu hata inashuka daraja inakutana na bingwa inashinda. La liga au bundesliga unakuta bingwa anajulikana hata mechi 10 kabla.
Kuwa na akili barca na Madrid ni timu bora siyo rahisi ikafungwa na timu inashuka daraja ndo maana kila siku zinazifunga tu timu za uingereza
 
Usiwakumbushe mzimu Barcelona,likufufuka hili nalo linatandika vi Tim vya england Sana,Kuna mwaka man u alitandikwa palepale Wembley,dah,
Hili limzimu lazm lifufuke na limeshaanza
Xavi analipasha moto naamini pep lazm atarudi pale kuliamsha tena
 
Hahaa.. watu mna vituko sana aseee. Yaan Laliga ni bora kuliko EPL, Kwa kigezo gani hasa? Haya twende pamoja hapa

1. Kwa kigezo cha Madrid kuzifunga timu za top 3 ya EPL wala sio kigezo cha ubora wa LaLiga bali ni ubora wa timu moja. Jiulize ni timu ngapi za LaLiga walau zimetetemesha kwenye UCL hata kufika hatua nzuri.

2. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL basi turudi msimu uliopita EPL imeingiza fainali timu zote huku Chelsea akimbamanda huyo Madrid kwenye semi's na Atletico Madrid kwenye quarter's

3. Kama kigezo ni kufanya vizuri kwenye UCL hebu rudi nyuma misimu 6 uone jinsi timu za EPL zinavyofanya vizuri huko UEFA. Halafu sasa ni timu tofauti tofauti Chelsea, Liver, Man City, Spurs na wakati LaLiga ni timu mbili tu mara nyingi ni Real Madrid, halafu wanaanza kubadilishana mara Sevilla, Atletico au Barca.

Hakuna namna unaweza kunishauri LaLiga ni bora kuliko EPL

1. EPL
2. LaLiga
3. Seria A
4. Bundesliga
5. Ligue 1

Hiyo ni kulingana na vyanzo mbalimbali vya kutoa taarifa za kuaminika kuhusiana na michezo

😂 hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
 
EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,

auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka

ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED
Huo ushindani unasaidiaje kubeba vikombe vya UEFA? Kwa nini La Liga imeizidi EPL kwa idadi ya makombe ya UCL kama haina ubora?
 
Kaka kuna utafauti kati ya timu kuw a nguvu na league kuwa kuwa nguvu
 
Ni kweli ushindani ni mzuri kwenye ligi, lakini ukweli ni kuwa timu za La Liga ni more technical na bora zaidi ya timu za EPL. Hii michuano ya UEFA ni ushahidi tosha mkuu
Nafasi ya nusu fainali mpaka fainali ni ligi gani imeingiza timu nyingi zaidi kwa miaka mitano iliyopita?
 
Unaweza kuenjoy kuangalia mechi mfano Brentford v Wolves, ila sio Osasuna v Cadiz
 
Niambie LaLiga ubora wake ni upi? Timu moja kubeba vikombe vingi ndio ubora ulipo?
5
UEFA-Europa-League-Winners-History.jpg
 
Unaweza kuenjoy kuangalia mechi mfano Brentford v Wolves, ila sio Osasuna v Cadiz
Hapo ndo utofauti wa neno bora na neno kupendwa/kuvutia.

Ni Sawa na iphone/Samsang vs Tecno/Infinix
 
Back
Top Bottom