La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

Mkuu mbona hili suala liko wazi? Sielewi tunabishana nini. Kuanzia Europa League mpaka UCL kote timu za La Liga ndio zinaongoza kubeba makombe. Sasa wewe unataka ubora gani?
Nadhani ungesema Real Madrid usiseme team za la liga sema Real Madrid hilo wala halina ubishi ila ukiongelea kwa team ni EPL wametoa washindi tofauti tofauti sio mmoja Liverpool, Man u, Chelsea, Nothigham Forest, Aston Villa hawa wote nyakati tofauti wameshinda kwa La Liga hakuna team zaidi ya Real na Barca, na Barca ni katika kipindi cha karibuni tu katika ubora wao na ni mara 5 tu kwenye History yao. Ukitumia kigezo hicho basi AC Millan mara 7 ni league bora ya pili duniani sio EPL.
 
Kwa hiyo kuuzwa ghali ndio ubora? Kwa akili yako Harry Maguire ni bora zaidi ya Diaz wa Man City kwa kuwa alinunuliwa bei ghali zaidi?
Kwa wakati ananunuliwa yes? kuna mtu alilalamika wakati analipiwa pesa.
 
Nadhani ungesema Real Madrid usiseme team za la liga sema Real Madrid hilo wala halina ubishi ila ukiongelea kwa team ni EPL wametoa washindi tofauti tofauti sio mmoja Liverpool, Man u, Chelsea, Nothigham Forest, Aston Villa hawa wote nyakati tofauti wameshinda kwa La Liga hakuna team zaidi ya Real na Barca, na Barca ni katika kipindi cha karibuni tu katika ubora wao na ni mara 5 tu kwenye History yao. Ukitumia kigezo hicho basi AC Millan mara 7 ni league bora ya pili duniani sio EPL.
Kwani Man United au Liverpool wamekatazwa kushinda zaidi ya hayo makombe waliyoshinda? Hiyo ni hoja dhaifu kuwahi kutokea katika mpira. Na vipi kuhusu Europa, huko wametawala Sevilla, Atletico na Villareal
 
Kuwa attractive sio kuwa bora. Na ndio maana zinapigwa zikikutana na wababe Ulaya
hebu kaangalie head to head vizuri acha ubishi bila kuwa na facts. Real Madrid ni wakubwa ki history ulaya kwenye CL ukiondoa real hakuna mtu La liga. Nenda katizame mechi ngapi La liga team wamekuta na EPL na status zake.
 
Kwani Man United au Liverpool wamekatazwa kushinda zaidi ya hayo makombe waliyoshinda? Hiyo ni hoja dhaifu kuwahi kutokea katika mpira. Na vipi kuhusu Europa, huko wametawala Sevilla, Atletico na Villareal
Sasa mbona nguvu nyingi unatumia si uangalie star times La liga issue iko wapi? waacha watu wale burudani EPL wewe baki na ubora hakuna shida.
 
Mkuu tukubaliane kutokukubaliana, hata mimi naangalia sana EPL kuliko La Liga lakini nina uelewa kuwa La Liga ni bora zaidi. Haihitaji nguvu nyingi kulitambua hilo, wala tusipofushwe na mahaba tuliyonayo kwa EPL.
 
Kwa hiyo kuuzwa ghali ndio ubora? Kwa akili yako Harry Maguire ni bora zaidi ya Diaz wa Man City kwa kuwa alinunuliwa bei ghali zaidi?
Kampuni ya Apple sawa na Samsung, Unajuwa EPL nini nini au La liga? hizi ni kampuni na shareholders ni clubs thamani yako ndio inafanya kampuni kuwa na thamani huwezi kuwa na thamani kama wewe halafu kampuni isiwe na thamani haya mambo yanaenda pamoja Real na Barca wana thamani sana ila wengine kwenye league hawana huku EPL mpaka anayeshuka daraja thamani yake kubwa watu wanabeba mpaka Million 100 na anashuka daraja.
 
Mkuu tukubaliane kutokukubaliana, hata mimi naangalia sana EPL kuliko La Liga lakini nina uelewa kuwa La Liga ni bora zaidi. Haihitaji nguvu nyingi kulitambua hilo, wala tusipofushwe na mahaba tuliyonayo kwa EPL.
Real Madrid ni bora sio la Liga, PSG bora lakini sio Ligue 1, Bayern ni bora lakini sio Bendesliga ila EPL ni bora kama league.
 
We jamaa unachekesha sana 😂😂 😂 . Anyways I rest my case. Kila mtu abaki na msimamo wake.
 
Kampuni ya Apple sawa na Samsung, Unajuwa EPL nini nini au La liga? hizi ni kampuni na shareholders ni clubs thamani yako ndio inafanya kampuni kuwa na thamani huwezi kuwa na thamani kama wewe halafu kampuni isiwe na thamani haya mambo yanaenda pamoja Real na Barca wana thamani sana ila wengine kwenye league hawana huku EPL mpaka anayeshuka daraja thamani yake kubwa watu wanabeba mpaka Million 100 na anashuka daraja.
Hizo pesa na hiyo thamani kubwa zinawasaidia nini kwenye UEFA? Bado hujajibu hii hoja.
 
Mkuu tukubaliane kutokukubaliana, hata mimi naangalia sana EPL kuliko La Liga lakini nina uelewa kuwa La Liga ni bora zaidi. Haihitaji nguvu nyingi kulitambua hilo, wala tusipofushwe na mahaba tuliyonayo kwa EPL.
Angalia Barca ndio mshindi wa pili la Liga alichofanywa CL na European league haya hayawezi kufanyiwa Liver wa pili au Chelsea wa 3. Kumbuka Real alivuka mechi hizi katika home and away lakini alipoteza mechi mbili alichocheza na City na Chelsea lakini alishinda sababu ya away goals kama kwa PSG. Ila ukitoa Real ambaye Barca wa pili kwenye league sote tunajuwa kiwango cha Barca wanatia huruma kwa kiasi kikubwa tu.
 
Humjui president wa La liga? kazi ipo. Unawezaje kuwa mzuri lakini huvutii lakini mbaya unavutia mbona unajichanganya. Mzuri lazima avutie
ENDELEA KUJICHANGANYA.

EPL INA VUTIA KWA SABABU YA KUFATILIWA NA FANS WENGI KUTOKANA NA UWEKEZAJI WAO WANAOUFANYA KUANZIA KWENYE PROMOTION,WAWEKEZAJI KWENYE CLUB NDO MAANA HAPA TIMU NYINGI EPL ZIKO TOP 20 KWENYE RICHEST CLUB IN THE WORLD KU COMPAIRE NA LA LIGA AMBAKO TIMU MBILI TU NDO ZIKO JUU KIUCHUMI.

LA LIGA NI BORA KULIKO EPL MAANA WAKIKUTANA,MARA NYINGI MSHINDI ANATOKA LIGI YA LA LIGA.MBALI NA KULINGANISHA IDADI YA MAKOMBE ULAYA.

#mwanamke mzuri,anae vutia siyo kwamba ndiye anae kuwa na sifa za kuwa Mke bora.Unaweza ukawa mzuri na kuvutia lakini Isiwe bora
 
Hicho ni kisingizio tu mkuu, ukweli ni kuwa ligi ya Uingereza ni overrated. Haina huo ubora inaosemekana inao
Itakua huangalii la liga,game ya Newcastle na wolves Ina ladha kuliko game ya Madrid na valencia
 
Epl ni pana kuliko la liga

Spain ni timu mbili tu zikicheza ndo zina angaliwa
Ila england hata acheze leeds na Burnley
Watu wataenda kuangalia mechi
 
Back
Top Bottom