La liga tittle race

Atletico kashinda...

Ni hamu yangu kuiona atletico inabeba hii ndoo, hili chama nalizimia mnooo, kuas mtaani kunibatiza jina la DIEGO SIMEONE ila naona mwamba sasa hv km kachoka kimipango vile.
Wewe ndio kama mimi. Timu imechoka sana mwishoni. Nina wasiwasi na Match ijayo dhidi ya Valladolid kwakuwa Valladolid yupo nyumbani na anapambana asishuke daraja kwakuwa anashika nafasi ya 19 na yupo home. Lakini pia Real Madrid wanakazi watakapo kutana na Villarreal.
Barcelona ndio kakosa rasmi leo hata angeshinda isingesaidia kwakuwa tayari ATM wameshinda.
 
Leo ndio leo asiye na mwana abebe jiwe, iwe isiwe lazima kombe lichukuliwe na hii, ni mechi kali kati ya timu ya kifo na timu ya uhai..

Atletico
Real
 
Simba kaniharibia siku mamama mae, hawa atletico sijui nao watanipa panadol au ndio mwendo wa kupigilia msumali wa moto kwenye donda [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…