makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndio chama langu haswaa hilo huko spainUnataka Atletico ashinde?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio chama langu haswaa hilo huko spainUnataka Atletico ashinde?
Hawezi kushinda kwa timu inayopigania kutoka kushuka daraja.Ndio chama langu
Madrid nae kakalia kimoja ndiiHawezi kushinda kwa timu inayopigania kutoka kushuka daraja.
Ndoo ni yetu Real Madrid mara ya pili mfululizo
Madrid nae kituko tuHawezi kushinda kwa timu inayopigania kutoka kushuka daraja.
Ndoo ni yetu Real Madrid mara ya pili mfululizo
Kabisa, keshapigwa kimoja
Daahh mambo bado magumu hapa, Real msiniangusheLeo ndio leo asiye na mwana abebe jiwe, iwe isiwe lazima kombe lichukuliwe na hii, ni mechi kali kati ya timu ya kifo na timu ya uhai..
Atletico
Real
Mchawi nduguyoDaahh mambo bado magumu hapa, Real msiniangushe
Jibu lako lipo, nitakujib baada ya dk 90Hawezi kushinda kwa timu inayopigania kutoka kushuka daraja.
Ndoo ni yetu Real Madrid mara ya pili mfululizo
Namuombea sana anyanyue. Ila nili tabiri hii match kwakwe ni ngumu sana.Naona Halftime wote wamekaa.
Atletico fanya mambo Simeone hata anyanyue kwapa msimu huu.
Nililiona hili jamboWewe ndio kama mimi. Timu imechoka sana mwishoni. Nina wasiwasi na Match ijayo dhidi ya Valladolid kwakuwa Valladolid yupo nyumbani na anapambana asishuke daraja kwakuwa anashika nafasi ya 19 na yupo home. Lakini pia Real Madrid wanakazi watakapo kutana na Villarreal.
Barcelona ndio kakosa rasmi leo hata angeshinda isingesaidia kwakuwa tayari ATM wameshinda.
Wote wamesawazisha, bado ngoma zito hapaMadrid wamesawazisha huko