Umejitahidi kuongea, lkn Real Madrid ni ya tatu katika La Liga wakati Man U ni Bingwa kule EPL, so hapo unasemaje ndugu yangu?
Mourinho,
Kwa kigezo chako basi Chelsea ni timu bora kuliko Barcelona,Liverpool ni timu bora kuliko Barcelona na Real Madrid
All-time top 25 Champions League table
The following is a list of the top twenty-five clubs
with the most points gained in the UEFA
Champions League, since the introduction of the
new format in season 1992–93. The clubs are
primarily ranked by their points gained, on a basis
of two points for a win, one for a draw and no
point for a loss. The results from the qualifying
rounds are not included.
This list is current as of 23 February 2013.
Rank Club Years Pld W D L GF G
1
Manchester
United
18 189 102 49 38 325 17
2
Barcelona
17 178 101 46 31 352 17
3 Real
Madrid
17 182 102 38 42 364 20
4 Bayern
Munich
16 169 86 43 40 288 17
5 Milan. 16 156 72 46 38 222 14
6 Arsenal. 15 144 66 37 41 219 15
7 Juventus. 13 127 61 35 31 204 12
8 Chelsea. 11 120 60 35 25 195 10
9 Porto. 17 139 58 35 46 171 15
10 Inter. 11 105 50 26 29 148 11
11 Lyon. 12 106 50 25 31 177 12
12 Valencia. 9 91 41 27 23 140 88
13 Liverpool. 8 82 39 24 19 124 73
14 Ajax. 11 90 36 24 30 116 97
15 Borussia
Dortmund
8 66 31 17 18 94 73
16 PSV
Eindhoven
13 90 30 18 42 90 12
17
Olympiacos
14 90 28 19 43 105 14
18 Dynamo
Kyiv
14 96 26 22 48 118 15
19 Roma. 7 66 24 18 24 79 85
20
Galatasaray
11 81 22 21 38 81 12
21
Panathinaikos
9 74 23 18 33 76 10
22 Deportivo
La Coruña
5 58 23 15 20 74 79
23 Bayer
Leverkusen
7 65 24 13 28 96 11
24 Benfica. 8 58 21 16 21 62 64
25 Spartak
Moscow
11 74 21 15 38 90 13
Timu za EPL zipo nne tu (red) wakati za La Liga zipo kama sita hivi(blue)!
Timu za EPL zipo nne tu (red) wakati za La Liga zipo kama sita hivi(blue)!
Halafu ni La Liga Vs EPL, na sio Barca vs Chelsea n.k
Hebu angalia hii, bingwa wa EPL yuko wapi kwenye UCL? Kutakua na team ngapi za EPL kwenye 1/4 final?
Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!
Hawa ndio wanaitwa mashabiki maandazi kazi yao kupiga kelele tuUnajua unachokiandika??
gakato
Mbona hujazungumzia Chelsea ambaye alishika nafasi ya 5 EPL,alimfunga Barca ambaye ni bingwa wa LaLiga?
Kama umeona maoni yangu huko nyuma nilimuuliza mtoa mada,tunatumia kigezo gani kusema ligi gani bora?Ni kweli Belo sasa weka mizani bado by frequencies na jinsi watu walivyofungwa timu za EPL zilizalilishwa ndugu yangu...
Unapolinganisha ligi tunaangalia content ya hizo ligi,Barca inatoka La Liga na Chelsea inatoka EPL.
Kuna tofauti kubwa sana kwenye perfomance timu kwenye ya ligi ya nyumbani na kwenye mashindano kama UCL.Champions league ni mtoano wakati ligi unacheza na timu zote,mfano
Msimu uliopita Chelsea alishika nafasi ya 5 kwenye ligi lakini alikuwa bingwa wa UCL,hata Liverpool walivyochukua ubingwa 2007 kwenye ligi walishika nafasi ya 5.Chelsea alikuwa nafasi ya 5 alimtoa Barca ambaye alikuwa bingwa wa La Liga kwa hiyo last season EPL ilikuwa bora kuliko La Liga? Dortmund,ManCity walishinda domestic league lakini UCL walitolewa kwenye makundi
Italy na Germany wana uwezekano wa kuingiza timu mbili robo fainali(Juventus,Milan,Dortmund,Bayern),kwa hiyo Serie A & Bundesliga zitakuwa bora kuliko Laliga?
jamani matokeo ya Tottenam Hotspurs na Inter Milan?
Mkuu its La Liga Vs EPL, Bundasliga na Serie A ni out of content, tujadiliane kwa kutoa mifano relevant.
Ukisema mtu wa tano kwenye EPL alimfunga bingwa wa La liga me ntasema huyo bingwa kutoka EPL alifungwa na Atletico madrid kama kasimama, akawa the first reigning champion kutolewa kwenye group stages.