La Liga vs EPL.

La Liga vs EPL.

Umejitahidi kuongea, lkn Real Madrid ni ya tatu katika La Liga wakati Man U ni Bingwa kule EPL, so hapo unasemaje ndugu yangu?

Katika miaka 4 iliyopita Real Madrid wamekuwa wa tatu mara ngapi? This is one time thing. La Liga hakuna ushindani kama EPL.
 
Mourinho,

Kwa kigezo chako basi Chelsea ni timu bora kuliko Barcelona,Liverpool ni timu bora kuliko Barcelona na Real Madrid
 
Last edited by a moderator:
rubaman,

Laliga bado haijaisha,Atletico Madrid kamzidi Real Madrid kwa point 2 na still hajacheza na game ya pili na Barca na Real.Nafikiri ligi itaisha Barca bingwa akifuatiwa na Real,Atletico atakuwa namba 3
 
Last edited by a moderator:
Mourinho,

Kwa kigezo chako basi Chelsea ni timu bora kuliko Barcelona,Liverpool ni timu bora kuliko Barcelona na Real Madrid

Halafu ni La Liga Vs EPL, na sio Barca vs Chelsea n.k
Hebu angalia hii, bingwa wa EPL yuko wapi kwenye UCL? Kutakua na team ngapi za EPL kwenye 1/4 final?
 
Last edited by a moderator:
All-time top 25 Champions League table
The following is a list of the top twenty-five clubs
with the most points gained in the UEFA
Champions League, since the introduction of the
new format in season 1992–93. The clubs are
primarily ranked by their points gained, on a basis
of two points for a win, one for a draw and no
point for a loss. The results from the qualifying
rounds are not included.
This list is current as of 23 February 2013.
Rank Club Years Pld W D L GF G
1
Manchester
United
18 189 102 49 38 325 17
2
Barcelona
17 178 101 46 31 352 17
3 Real
Madrid
17 182 102 38 42 364 20
4 Bayern
Munich
16 169 86 43 40 288 17
5 Milan. 16 156 72 46 38 222 14
6 Arsenal. 15 144 66 37 41 219 15
7 Juventus. 13 127 61 35 31 204 12
8 Chelsea. 11 120 60 35 25 195 10
9 Porto. 17 139 58 35 46 171 15
10 Inter. 11 105 50 26 29 148 11
11 Lyon. 12 106 50 25 31 177 12
12 Valencia. 9 91 41 27 23 140 88
13 Liverpool. 8 82 39 24 19 124 73
14 Ajax. 11 90 36 24 30 116 97
15 Borussia
Dortmund
8 66 31 17 18 94 73
16 PSV
Eindhoven
13 90 30 18 42 90 12
17
Olympiacos
14 90 28 19 43 105 14
18 Dynamo
Kyiv
14 96 26 22 48 118 15
19 Roma. 7 66 24 18 24 79 85
20
Galatasaray
11 81 22 21 38 81 12
21
Panathinaikos
9 74 23 18 33 76 10
22 Deportivo
La Coruña
5 58 23 15 20 74 79
23 Bayer
Leverkusen
7 65 24 13 28 96 11
24 Benfica. 8 58 21 16 21 62 64
25 Spartak
Moscow
11 74 21 15 38 90 13
 
By the time Liverpool wanaifunga Barca na Madrid EPL ilikua juu kuliko ligi yoyote Ulaya, lakini sio siku hizi
 
Timu za EPL zipo nne tu (red) wakati za La Liga zipo kama sita hivi(blue)!
 
Timu za EPL zipo nne tu (red) wakati za La Liga zipo kama sita hivi(blue)!

Kweli kama alivyosema Chicco watu wengine mnabwabwaja ili mradi msikike lakini hamjui mnachosema. PAPA MOPAO hujui timu zilizokuwepo katika la liga acha kujiaibisha. Benfica ipo ligi ya Ureno, Olympiacos ipo katika ligi ya Ugiriki. La liga ni ligi ya Spain.
 
Halafu ni La Liga Vs EPL, na sio Barca vs Chelsea n.k
Hebu angalia hii, bingwa wa EPL yuko wapi kwenye UCL? Kutakua na team ngapi za EPL kwenye 1/4 final?

Unapolinganisha ligi tunaangalia content ya hizo ligi,Barca inatoka La Liga na Chelsea inatoka EPL.
Kuna tofauti kubwa sana kwenye perfomance timu kwenye ya ligi ya nyumbani na kwenye mashindano kama UCL.Champions league ni mtoano wakati ligi unacheza na timu zote,mfano

Msimu uliopita Chelsea alishika nafasi ya 5 kwenye ligi lakini alikuwa bingwa wa UCL,hata Liverpool walivyochukua ubingwa 2007 kwenye ligi walishika nafasi ya 5.Chelsea alikuwa nafasi ya 5 alimtoa Barca ambaye alikuwa bingwa wa La Liga kwa hiyo last season EPL ilikuwa bora kuliko La Liga? Dortmund,ManCity walishinda domestic league lakini UCL walitolewa kwenye makundi

Italy na Germany wana uwezekano wa kuingiza timu mbili robo fainali(Juventus,Milan,Dortmund,Bayern),kwa hiyo Serie A & Bundesliga zitakuwa bora kuliko Laliga?
 
Ah, wazee wa La Liga! Ligi ya timu mbili.....!

Vuta kumbukumbu mwaka jana Manchester United alivyotafuta mpira kwa tochi kwa ATHLETIC BILBAO, alipigwa ndani nje, uliza chelsea kwenye Super Cup alichezea four nil kwa Atletico Madrid. So can u still remain conservative with your unverifiable assumption of dual powers? La Liga ni bora mara nyingi mno kwa BPL ambayo media inaikuza tu lakini haikuziki,,,,wachezaji wanaishia kujifunza karate badala ya mpiraa...
 
gakato

Mbona hujazungumzia Chelsea ambaye alishika nafasi ya 5 EPL,alimfunga Barca ambaye ni bingwa wa LaLiga?
 
Last edited by a moderator:
gakato

Mbona hujazungumzia Chelsea ambaye alishika nafasi ya 5 EPL,alimfunga Barca ambaye ni bingwa wa LaLiga?

Ni kweli Belo sasa weka mizani bado by frequencies na jinsi watu walivyofungwa timu za EPL zilizalilishwa ndugu yangu...
 
Ni kweli Belo sasa weka mizani bado by frequencies na jinsi watu walivyofungwa timu za EPL zilizalilishwa ndugu yangu...
Kama umeona maoni yangu huko nyuma nilimuuliza mtoa mada,tunatumia kigezo gani kusema ligi gani bora?
Kama kigezo ni matokeo baina ya hizo timu basi hata Serie A ni bora kuliko La Liga maana timu za Hispania zikicheza na timu za Italy(Juventus,Inter na Milan) zinafungwa sana
 
jamani matokeo ya Tottenam Hotspurs na Inter Milan?
 
Unapolinganisha ligi tunaangalia content ya hizo ligi,Barca inatoka La Liga na Chelsea inatoka EPL.
Kuna tofauti kubwa sana kwenye perfomance timu kwenye ya ligi ya nyumbani na kwenye mashindano kama UCL.Champions league ni mtoano wakati ligi unacheza na timu zote,mfano

Msimu uliopita Chelsea alishika nafasi ya 5 kwenye ligi lakini alikuwa bingwa wa UCL,hata Liverpool walivyochukua ubingwa 2007 kwenye ligi walishika nafasi ya 5.Chelsea alikuwa nafasi ya 5 alimtoa Barca ambaye alikuwa bingwa wa La Liga kwa hiyo last season EPL ilikuwa bora kuliko La Liga? Dortmund,ManCity walishinda domestic league lakini UCL walitolewa kwenye makundi

Italy na Germany wana uwezekano wa kuingiza timu mbili robo fainali(Juventus,Milan,Dortmund,Bayern),kwa hiyo Serie A & Bundesliga zitakuwa bora kuliko Laliga?

Mkuu its La Liga Vs EPL, Bundasliga na Serie A ni out of content, tujadiliane kwa kutoa mifano relevant.

Ukisema mtu wa tano kwenye EPL alimfunga bingwa wa La liga me ntasema huyo bingwa kutoka EPL alifungwa na Atletico madrid kama kasimama, akawa the first reigning champion kutolewa kwenye group stages.
 
Ndio maana nilikuuliza huko nyuma kwenye vigezo,soma post yangu #33 ,

Hueleweki,nimetoa mifano ya Chelsea na Barca ukasema,its la liga na Epl sio Barca na Chelsea now natoa mifano ya Serie A na Bundesliga still unakwepa

Organize data zako vizuri then utoe tamko lako vizuri,umesema unaangalia matokeo ya hizo timu recently nikakwambia.
Chelsea hakuwa bingwa wa EPL,bingwa wa EPL alikuwa ManCity so Barca alifungwa na timu iliyofungwa na timu iliyoshika nafasi ya 5

Atletico Madrid alimfunga Chelsea,kwa hiyo unataka kusema kwamba Atletico ni wazuri kuliko Barca kwa kigezo Barca kafungwa na Chelsea na Chelsea kafungwa na Atletico?
 
Back
Top Bottom