La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

Jamani mimi mwanamke siyo mrembo kwa kweli. Mzuka na weaving, wigi siko. Kisa hiki ni cha kweli natoa hapa si kwamba nadharau wale wavaaji ila muwe makini .

Juzi nikiwa kwenye dala dala natoka kariakoo, akaingia dada mmoja mtanashati kavaa mlegezo ili kale ka CUPI kenye kamba kaonekane. Ile anaibuka kwenye dala dala mlangoni kulikuwa na chuma kikamata wigi likachomoka kichwani likabaki kwenye chuma. Huko ndani ya kichwa chake ilikuwa hatari, manywele mabaya, yamevurugika nahisi alitoka kufumua rasta akaweka ili kuficha uchafu wake AKAUMBUKA. Dada wenzangu shaurini hapo. Kwa wanaume naomba wapigeni marufuku wake zenu kuvaa mawigi, tena wekeni msistizo.

Wanawake wengine wakivaa hawapendezi lakini wamo tu. Siku hizi kuna consultants wa urembo nenda katoe hela yako wakushauri nini ufanye na mwili wako, uso au hata kwenye hizo nywele unazotaka wakwambie kama utapendeza au la.

Samahani wanawake wenzangu, ni mtizamo tu ila mawigi siyo INSHU.

Tungekuwa karibu, ungeagiza soda bill kwangu. Bahati mbaya nyingine tena kwenye simu ya kiganjani hakuna sehemu ya kukong'oli 'thanks'. Nimebaki nahangaika tu.
 
kimsingi huko ni kutojitambua kwa wanawake husika na kukosa kujiamini . anahisi bila wigi hawi yeye. nawaheshimu sana wakinadada wanaojitambulisha ktk maumbile yao halisi mfano mzuri marehemu Brenda Fassie, NAWASIHI WAKINADADA WAZOEE MAUMBILE YAO JAMII PIA ITAWAZOEA NA KUONDOKANA NA UTUMWA WA KUJITAKIA.
 
Mimi hata minywele yao hii ya kutengeneza siipedi, lkn kinamama wanasikia! Utaambiwa "yaani hutaki nipendeze?"
Amini usiamini manamke wa kiafrika akiwa na nywele zake za asilu anapendeza mno! Basi tu wabishi!
 
Mkereke kwa vitendo si maneni. Mkimuona beyonce mnasema anavutia mnadhani angekuwa na kipara mngegeuka!

Hamjani convince bado. I am putting myself extremely attractive!

Kuna wanaume wanawambia wake zao ooh usiweke dawa mimi hainivutii. Ukikuta kimada wake full mawigi plus madawa!

Anamwambia wife hajihachie ili ahakikishe hamna anayemtokea!
Beyonce na bongo wapi na wapi, kwanza baadhi ya wanawake wakibongo hawajui jinsi ya kuya-mantain hayo mawigi jasho na joto la bongo yeye yuko nalo tu ukisimama nae karibu hiyo harufu inayotoka hapo ni kama vile mchanganyiko wa acid sijui na nini.
 
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.


Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.


Mi napenda mwanamke awe nywele zake asilia, tena nywele fupi
Short haircut.
Sio unamwambia twende kuoga halafu anakwambia yeye kichwa chake hakitakiwi kuloa maji
Nakereka balaa

Aisee naomba niwe wa kwanza kwenye hiyo sensa, napinga miwigi ya aina yoote na minywele artificial! Hiyo midude inaniput off ile mbaya! Yaani utakuta inachomachoma hivi! huwa nahisi kila kitu feki! .

Sijui nisemaje.... mawigi yananiboa sana. Nywele za bandia? Tena unakuta mwanamke kajichubua halafu kaweka wigi na lipstiki nyeupe kama unga, makucha marefu na rangi kwenye eyelids za juu, ana pengo na kajipulizia marashi ya ajabu ajabu. Haya, inasemwa kila mtu ana haki ya kuwa atakavyo. Sina tatizo na hilo lakini wigi linakera sana. Sana. .

..achilia wigi, hata anayesukia rasta, sijui human hair bla blah, wote wananikera!
pheeww,...

acha niendelee kushabikia wenye Orijino singa na kipilipili kama cha Lizzy!


cyakubali pia.


Keep it up; namshukuru aliyeanzisha thread hii! Itasaidia sana kina dada wengi! .


Yaani nachukia mawigi mno, inabidi tupange siku kila mwanamke anayevaa anavuliwa hadharani..


Aisee mi nimempiga stop demu kuvaa hayo madude,uzuri wa mwanamke natural hair.lakini kazi ipo kwa wadada wa kichaga

Wig mi kwa mtazamo wng ni ushamba, love your naturality you wil be beautiful.

jamani nimeshasema na dem wangu anajua.nasema kwa mala ya mwisho.sitaki kuona mawigi.kwanza mvua ikinyesha kidogo tu yananuka.wakati wa mvua unakuta wamevaa ile mifuko inayoitwa shangazi ili mawigi yasilowane.mimi nikiyaona hata jogoo hawiki.yananukaaa...!!mawigi si ishu.eti waitu nina nywele kama za muzungu"....alaaa....!!pumbavu.

Hey! Sensa huwa hsitangazwi Bali hufanyika! Sifagilii wigi wala nywele za marehem ....acheni nywele zenu ikiwezekana mzichome tu.



Kweli kazi ipo.....
 
Siyapendi kabisa, Ila jamani kuna wanawake wanatia aibu, unakuta wigi lenyewe chafu,na rangi ya mvaaji haviendani kabisa. Ni kero
 
Code:
Mimi ni mwanamke ila kuna wanawake wengine wanakera yaani wanavaa mawigi  ambayo hayaendani na rangi, sura na mengine hayajashonewa vizuri  ilimradi tu kafunika nywele halisi..mawigi mengine ya ki-blonde na  yamefika hadi kiunoni, mweeh!!...halafu tatizo lingine ni kuwa wengine  wanavaa/shoea mawigi kumbe nywele za ndani zipo kiholela yani wigi  likidondoka aibu yao..kuna wanawake wengine mawigi yanawatoa vile vile..
Nashukuru kuwa na nywele fupi na sijawahi kuvaa wigi, kwanza joto kali dar..
Forget wigs and just be yourself and we will love you even moreeeeeeeeeee
 
Code:
Mimi ni mwanamke ila kuna wanawake wengine wanakera yaani wanavaa mawigi  ambayo hayaendani na rangi, sura na mengine hayajashonewa vizuri  ilimradi tu kafunika nywele halisi..mawigi mengine ya ki-blonde na  yamefika hadi kiunoni, mweeh!!...halafu tatizo lingine ni kuwa wengine  wanavaa/shoea mawigi kumbe nywele za ndani zipo kiholela yani wigi  likidondoka aibu yao..kuna wanawake wengine mawigi yanawatoa vile vile..
Nashukuru kuwa na nywele fupi na sijawahi kuvaa wigi, kwanza joto kali dar..
Forget wigs and just be yourself and we will love you even moreeeeeeeeeee


You guys as if you mean it....lol
 
Duuuu, bado hujanishawishi! Mawigi jamani yanaudhi siyo siri. Vitu nechuro bwana vinanoga mpaka kisogoni. Miye mamsapu wangu nilishamwambia tangu uchumba wetu. Bora hata akinyoa zungu na akanipigia heleni kubwa kuliko akinibandikia wigi hata limkae kiasi gani sipati 'kick' hata moja. Labda ni-recall 'sehemu' nyingine ndipo niipate hiyo kick.


1. Kama mamsapu wako havai - sasa wakivaa wengine inakuuma nini??? Kwanza huko kunogewa hadi kisogoni kwa ajili ya nywele - hebu elaborate kidogo - manake hatuelewi inakuwaje mtu kunegewa na nywele natural???

2. Wigs/Extensions/Weavs/Braids/ ni biashara zimewekwa madukani - na inabidi ziuzwe - na wateja wengi ni wanawake - ila nijuavyo nchi nyingine hata wanaume ni wateja wa hivyo vitu

3. Ni kweli wanawake wanvaa wigs - lakini ni hali ya kutaka kuwa na styles tofauti za nywele

SWALI NA WALE WANAUME WANAOSUKA NYWELE - VIPI HAWAKUPUT-OFF??

nauliza tu na kutoa mawazo - nisieleweke vibaya PLEASE
 
Si unaona mwenyewe jinsi lilivyonikubali..

wewe kama umependeza sawa,lakini hiyo picha yako hujapendeza.mimi naona bora mumuige DENA AMSI.style ya dena naipenda pia.ficha nyele hizo kwa kuvaa kilemba kama unaona nywele zako huzitaki zionekane.lakini sura yako nzuri.unalipa.mia.
 
wewe kama umependeza sawa,lakini hiyo picha yako hujapendeza.mimi naona bora mumuige DENA AMSI.style ya dena naipenda pia.ficha nyele hizo kwa kuvaa kilemba kama unaona nywele zako huzitaki zionekane.lakini sura yako nzuri.unalipa.mia.
Asante sana kwa compliment!!.. mia
 
sijui sensa imefikia percent gani... Naomba nihesabiwe kama nisiyesapoti mawigi

To our sisters, you may not need them, hata vipilipili vinawekwa dawa tena vikiwa vifupi na kupendeza sana... there is nothing attractive like a natural stuff, meaning no sugar added!!!

Kuna wakati yanadondoka basi inakua tabu hicho kichaka ndani yake

CONFIDENCE YA MTU CAN AS WE JUDGED NA ANAVYOJIKUBALI MWENYEWE:dance::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom