TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
NAONA WANAUME WAMEFUNGUKA AISEEKweli kazi ipo.....
Hivi nani huyu aliyeanzisha miwigi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAONA WANAUME WAMEFUNGUKA AISEEKweli kazi ipo.....
NAONA WANAUME WAMEFUNGUKA AISEE
Hivi nani huyu aliyeanzisha miwigi??
mawigi oyeeeeeeeeee....kisa cha kutoka kama bibi tarabushi???inahuuuuuuuu?:dance:
Jamani jamani, tumeanza haya mambo tena!! Mimi simo.
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.
Huyo atakuwa mchafu tu, wenye uzoefu nayo kila mara wako salonHalafu haya mawigi huwa yanatoa,
harufu fulani hivi kiaina!!!!!!!!
Kwakweli nakuunga mkono Dume la mbegu!
Kweli DM, wanafanana eti.
khaaa! kumbe beyonce anavaa wigi?, heri mimi nammaindi Shakira.[/QUOTE]
mastarz wengi wanawake wanaongeza na kitu inaitwa extension,weave ,lace front wigs au kama nyie mnavojumuisha mnasema wig,kuna nywele za bandia wanawake wakiweka hata ukiingiza vidole huwezijua sio nywele zake hadi apende kukwambia,tatizo nyie mnakutana na yale mawig kama anayovaa joti na wadada wa manzese,wadada wa kisasa wenye pesa wakiweka extension/weave huwezi kabisa kuona kuwa sio nywele zake,hata shakira pia huongezea extension ili nywele ziwe nyingi,hata wazungu pia huweka nywele bandia ktk kutafuta urembo,sio wanawake wa kiafrika tu.

Cheusi nitakubatiza jina la 'balozi wa mawigi'.

Dah! sasa kabaki nani? nyinyi kinamama ndio mnaosababisha global warming na mawigi yenu. Aaaargh!