La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

NAONA WANAUME WAMEFUNGUKA AISEE

Hivi nani huyu aliyeanzisha miwigi??



MTM imenionesha kua wanaume hua wanasononeka moyoni but do not tell wapenzi wao...
Hivi ume observe barabarani - ni asilimia kubwa saana ya wadada wenye wigs kichwani,
naamini wangekua wanaambiwa zingepungua...

Origin imebidi niende ku google...lol... Ancient Egypt na kazi yake ilikua kuziba mapala from the sun...
 
Kiukweli haya mawigi mi nafikiri yapo kwaajili ya wale wasiojiamini jinsi walivyoumbwa,SIYAPENDI!!
 
Kiukweli haya mawigi mi nafikiri yapo kwaajili ya wale wasiojiamini jinsi walivyoumbwa,SIYAPENDI!!
 
mawigi oyeeeeeeeeee....kisa cha kutoka kama bibi tarabushi???inahuuuuuuuu?:dance:
 
Wale kina beyonce pia ni mawigi wakibaki na vipilipili vyao ndio utaelewa, whitney pia huwa ana vipunyuke kweli hawezi bila wigi
 
wanawake sie ni mapambo lazima tupendeze,mawigi yanatupendezesha na kutufanya tuwe na confidence na wanaume nyie ndio matrend setter mkiona mtu katoka nachurale msimuite mshamba.........i reaaly dont think nikiwa na kipili pili changu navutia......:mod:
 
I love simplicity and natural form. Fake hair, fake eyelashes, fake nails, fake bosom, fake butts and fake skin complexion are a BIG no for me.
 
Hivi eeee mara nyingi nakuwa nina nywele zangu ila wigi inabidi wakati mwingine natamani nywele fupi instead of cutting my hair navaa wigi
 
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.

Halafu haya mawigi huwa yanatoa,
harufu fulani hivi kiaina!!!!!!!!
Kwakweli nakuunga mkono Dume la mbegu!
 
Halafu haya mawigi huwa yanatoa,
harufu fulani hivi kiaina!!!!!!!!
Kwakweli nakuunga mkono Dume la mbegu!
Huyo atakuwa mchafu tu, wenye uzoefu nayo kila mara wako salon
 
Wajameni, haka kasensa nakahitimisha kesho mida ya jioni. Bado napokea mawazo ya wadau. Wengine wanaanza kwa msimamo fulani baadaye naona taratibu wanaanza kubadili misimamo yao. Kwa trend hii, najua nitakuwa na hitimisho very sensible! Nitajitahidi nitoe na mapendekezo!
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…