La Mwanza: Kwenu Mama Samia na Kamanda Sirro

Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:

View attachment 1861723

basi mnakoipeleka hii nchi siko.

Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya kadhia hii:

1. Kuyafanya hayo yatauweka huru utawala wenu kuwa ni wa haki.

2. Kuyabeza na kuendeleza kushupaza shingo zenu, kutaashiria kuwa mmedhamiria kututawala kidhwalimu.

"La mwanzo tegemeeni uungwaji mkono mkubwa na wapendwa haki wote. Ila hili la mwisho halitakubalika."

Ninawasilisha.
Maza nchi imemshinda. Hata chama kimepoteza uelekeo kisaikologia.
 
Mbowe anaongea ujinga wa Chanjo iwe lazma kwa wote. Nani kamwambia tunataka Chanjo zao. Ye si amechomwa akae atulie

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Nchi imechafuka. Maisha ya watu yanafanyiwa siasa bila hofu.

"Akili za kuambiwa changanya na za kwako." --JK.

Shimano mzee wa Msoga.
 
Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:

View attachment 1861723

basi mnakoipeleka hii nchi siko.

Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya kadhia hii:

1. Kuyafanya hayo yatauweka huru utawala wenu kuwa ni wa haki.

2. Kuyabeza na kuendeleza kushupaza shingo zenu, kutaashiria kuwa mmedhamiria kututawala kidhwalimu.

"La mwanzo tegemeeni uungwaji mkono mkubwa na wapenda haki wote. Ila hili la mwisho halitakubalika."

Ninawasilisha.
Imeandikwa jino kwa jino, upanga kwa upanga kwanini nyie CHADEMA hamuelewi maandiko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Chakula hadi kuwiva huhitaji kwanza kutokota vilivyo.

"Wameikataa miito yote ya kufikia maridhiano kwa mazungumzo. Wamechagua matumizi ya nguvu."

Hatuna namna nyingine zaidi ya kuwakubalia. Hatuna cha kuficha. Tumekubaliana nao.

Eeh mola wetu, mikononi mwako tunajikabidhi.
 
Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:

View attachment 1861723

basi mnakoipeleka hii nchi siko.

Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya kadhia hii:

1. Kuyafanya hayo yatauweka huru utawala wenu kuwa ni wa haki.

2. Kuyabeza na kuendeleza kushupaza shingo zenu, kutaashiria kuwa mmedhamiria kututawala kidhwalimu.

"La mwanzo tegemeeni uungwaji mkono mkubwa na wapenda haki wote. Ila hili la mwisho halitakubalika."

Ninawasilisha.
Samia is as weak as her eyes show,

Kama atafika 2025 basi ni bahati sana maana tayari magenge ya wahuni wamemzunguka na wanamuamulia mambo.

Is she blackmailed or?
 
Busara na hekima inahitajika.Hata hivyo kwa mabavu hayo wanazidi kutupa nguvu na promo wadai Katiba.Mama waweke Kando hao washauri wa kinazi wanakuharibia na kesho watakunanga zaidi.
 
Hapo hakuna nini wala nini ni maagizo toka juu kuanzia na huyo unayemwita mama japo sina uhakika kama alikuzaa, mpaka na serikali yote. Logic ni ndogo tu hawataki katiba itakayorudisha mamlaka na kumlinda mwananchi.ndio maana wanafanya wanavyotaka mfano watu wanalalamika tozo na Kodi za wizi waziri anajibu shit na hakuna wa kufanya kitu ila kuna siku itafika watajua Tanzania hakuna amani ila ni utulivu tu hapo Sudan maandamano yalianza kama utani watu wanalalamika bei ya mkate lakini kilichotokea serikali ikaanguka
Wanafikiri Al-shabab, Boko haraam, na uasi mwingine uliumbwa kutoka mbinguni. Haya ndiyo mazingira ya kuzaliwa kwa uasi.
 
Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza:

View attachment 1861723

basi mnakoipeleka hii nchi siko.

Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya kadhia hii:

1. Kuyafanya hayo yatauweka huru utawala wenu kuwa ni wa haki.

2. Kuyabeza na kuendeleza kushupaza shingo zenu, kutaashiria kuwa mmedhamiria kututawala kidhwalimu.

"La mwanzo tegemeeni uungwaji mkono mkubwa na wapenda haki wote. Ila hili la mwisho halitakubalika."

Ninawasilisha.
Mungu mkinge Freeman na maovu yote yanayomsibu. Mwangazie nuru na umpe ushujaa wa kushinda majaribu haya.
 
Back
Top Bottom