La Mwanza: Kwenu Mama Samia na Kamanda Sirro

Maza nchi imemshinda. Hata chama kimepoteza uelekeo kisaikologia.
 
Mbowe anaongea ujinga wa Chanjo iwe lazma kwa wote. Nani kamwambia tunataka Chanjo zao. Ye si amechomwa akae atulie

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Nchi imechafuka. Maisha ya watu yanafanyiwa siasa bila hofu.


"Akili za kuambiwa changanya na za kwako." --JK.

Shimano mzee wa Msoga.
 
Imeandikwa jino kwa jino, upanga kwa upanga kwanini nyie CHADEMA hamuelewi maandiko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Imeandikwa jino kwa jino, upanga kwa upanga kwanini nyie CHADEMA hamuelewi maandiko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Chakula hadi kuwiva huhitaji kwanza kutokota vilivyo.

"Wameikataa miito yote ya kufikia maridhiano kwa mazungumzo. Wamechagua matumizi ya nguvu."

Hatuna namna nyingine zaidi ya kuwakubalia. Hatuna cha kuficha. Tumekubaliana nao.

Eeh mola wetu, mikononi mwako tunajikabidhi.
 
Samia is as weak as her eyes show,

Kama atafika 2025 basi ni bahati sana maana tayari magenge ya wahuni wamemzunguka na wanamuamulia mambo.

Is she blackmailed or?
 
Busara na hekima inahitajika.Hata hivyo kwa mabavu hayo wanazidi kutupa nguvu na promo wadai Katiba.Mama waweke Kando hao washauri wa kinazi wanakuharibia na kesho watakunanga zaidi.
 
Wanafikiri Al-shabab, Boko haraam, na uasi mwingine uliumbwa kutoka mbinguni. Haya ndiyo mazingira ya kuzaliwa kwa uasi.
 
Mungu mkinge Freeman na maovu yote yanayomsibu. Mwangazie nuru na umpe ushujaa wa kushinda majaribu haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…