La Rocka bar ya Kawe, Dar ongezeni ulinzi watakufa wengi hapo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe

Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno. Kijana akakasirika akaenda kuchukua kisu akampa ya moyo

Bra bye-bye

Rip soldier

Bar please tujitahidi jaman tuongeze ulinzi tutapaogopa
 
Kamwe usiwe sehemu ya ugomvi wowote maeneo ya bar, pub, club, lounge au grocery.
💯 mkuuuuuu

Niliwahiii lala Lodge bila kupendaaa

Nilikuwa sehemu ya kuchangamka

Niakashangaa vyupa vinatembeaa

Baahat kwanyuma kuna Lodge nilikimbilia kule nkalipa nkajifungia ndan mpaka asbh sikutaka hata kujua kilichoendeleaaa
 
Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kaw...
Pamoja na kueleza kisa kama unakimbizwa, lakini maeneo ya kuvinjari unakutana na watu usiowafahamu.

Bora kunywa zako na kuondoka kimya kimya.

Watu wanatembea na bisibisi.
 
Rose garde

N 2011 niliwahi acha gari nkakamata pkpk nafjka kawe nakumbuka nilikuwa na gari acha kabisaaaaaa nkairudiaàà...nafika nakuta madamu kila sehem naambiwa na mlinzi kafa mtu hapa woii
Noma sana Mkuu, mim nakumbuka miaka ya 2014 tulileta shida ya kijinga sana pale coco kisa mwanetu mmoja tuliyetoka naye chuga kashika manzi wa watu ugomvi ukaanza.

Aisee ilevurugu hadi leo sitaki kabisa kujihusisha na ugomvi wa sehemu za starehe na sehemu zingine zozote, ushawahi kukanyagwa na mtu kavaa buti za Timberland?, asa imagine tulikanyaga watu hivyo, kulikua na walinzi wamasai wakisikia lafudhi zetu wanakuwa wanyonge wanatuacha tufanye maasi. Ni bahati tu hatukuua mtu.

Baada ya pale niliwaza sana hadi leo sitaki shida kabisa na wananzengo.
 
Picha ya tukio tafadhali, tutakuaminije?
 
Sasa unakuta rafiki mmetoka wote ana ugomvi na jamaa!Hapo panatokea ugomvi unafanyeje?
Ni kwenda kumtoa kwenye ugomvi tu Mkuu, mazingira ya hivi ya ugomvi yalikuwa nusu yatuponze miaka ya 2014. Hadi leo siwezi kabisa jihusisha na ugomvi.
 
Nakumbuka siku moja nipo lodge nimenunua lager yangu moja nakunywa mdogo mdogo, ghafla nasikia sauti nakufa nakufa, kumbe mwanaume mmoja (Mme) alikuwa anamkimbiza mke ambaye alikuwa ameonekana kutoka kwenye ile lodge. Hivyo baada ya kukimbizwa yule mwanamke akawa amerudi pale lodge, sasa wakanikuta nakunywa kinywaji. Kwa mshituko na Mimi nikaanza kukimbia maana yule jamaa alikuwa ameshika chupa ya bia ambayo aliipasua. Jamaa baada kuona nimekimbia akadhani ndiye mtu niliyekuwa na mke wake, akasema leo lazima tuuae. Nilijukuta nimeruka juu ya ukuta wa Lodge nikiwa na vest na boxa​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…