Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #321
Shukrani sana mkuu..the bold tunasubiri utoe kitabu tukuungishe u deserve to earn something
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuu..the bold tunasubiri utoe kitabu tukuungishe u deserve to earn something
Hahahahah! Uzuri haka katoto kananifanya hats njaa sisikiiHapo familia inaweza kufa njaa kwa kukabana hahahah
Hahahahah! Daaahh, Cheupe Chama na mogela, hahahahahBasi ndio hivyo bibie Chama na mogela tena.
[emoji15] [emoji87] kwahiyo ungekuwa Mexico ungeungana nao mkuu?Dah, bonge la story. I like Los Zetas Genge Mob
Mkuu vipi road rats wa huku kwetu? Na wao wako katika "influence" ya Mexican cartels (as unga wao) ama ni local bangi za huku?Till death nitakuwa supporter pekee mwenye imani asilimia 100 na D. Trump. Anaposema atajenga ukuta kutenganisha US na Mexico anamaanisha. Kupitia mgongo wa wakimbizi, watukutu htr walioshindikana wanapenyezwa na serikali ya Mexico ili kuhakikisha vijana wa wamarekani wanaharibiwa na ngada.
Mexican cartels ndio wasambazaji hatari zaidi duniani wa Heroin, Cocain, mandrax, na kila aina ya sembe, na wanapenya boarders za US, kisha wanaanzisha street-rats na gangs, wanafanya wizi, ubakaji, utapeli, na kuuza unga wawaharibu kina Chris Brown na Lil Wayne.
D. Trump kawashtukia mapema sana, na sidhani kama kakurupuka from sleep. Hakuna chumba tena kwa Wamekiko kusambaza sembe USA ndani ya utawala wa huyu bwashee. Watafute kijiwe kingine tu, otherwise wataishia kunyonyolewa kama nguruwe.
Shukrani..Big up
Daaahh! Itabidi niwasikishe jina lako kwa Trump, akupe ban usiingie US hahahahBila Shaka. Harakati zao huwa nazielewaga Sana. Ni watu flan hivi waliojichgulia life flan hivi la kipekee
Duuuuh haya bwana.Bila Shaka. Harakati zao huwa nazielewaga Sana. Ni watu flan hivi waliojichgulia life flan hivi la kipekee
Shukrani..Big up
Yes! Walikuwa ni members wa Gulf Cartel..Mkuu the bold hao wafungwa wana uhusiano wowote na hayo magenge?????
Na vp baada ya kutoloka hali inakuaje huko mexico???
Hahahahah.! Shukrani sana mpwa.. Binamu yako yuko kwenye mikono Salama kabisaSafi sana The bold, ni mtu sahihi kwa binamu yngu cha ukorofi Nifah.
Ko kuna uwezekano wa kukiendeleza pia baada ya kutoloka?????? I mean kuendeleza mauaji tena????Yes! Walikuwa ni members wa Gulf Cartel..