wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Wengine hatujui Wengine ni bahati mbayaIna maana huoni sehemu alizo comment mkuu The bold uka quote mpaka uje ku quote thread nzima kwa ajili ya kuomba tag? Tumia maarifa basi upo kwenye jukwaa la intelligence lakini unafanya mambo ya ajabu..
Ujumbe huu uwafikie na wengine wenye hii tabia.