La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Inashangaza kwanini marekani hawatumii drones kudhibiti unyama huu uliopo "nyumba ya pili" kutoka kwao lakini wanarusha drones maelfu ya makilometa kwenda mashariki ya kati kudhibiti "magaidi" ya kiarabu..
Bila shaka hilo swali linatosha kufanyia theisis ya kiwango cha PHD si kupata jibu bali kupata mweleko wa kupata jibu.
 

Next tym naomba namm unitag mkuu. Story zako tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…