La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Inashangaza kwanini marekani hawatumii drones kudhibiti unyama huu uliopo "nyumba ya pili" kutoka kwao lakini wanarusha drones maelfu ya makilometa kwenda mashariki ya kati kudhibiti "magaidi" ya kiarabu..
some how kuna wamarekani wenye nguvu wananufaika na hizo deal za drugs.....sasa ni vigumu kuwamaliza wote....
 
hawana "clean silent revange"...wananyooshana mchana kweupe....
tatizo selikari zao zinaundwa kupitia haohao giants wa grugs dealer...... unakuta ni wagumu kudhibitika...
Halafu huwa wanamipaka ya kibiashara unakuta kundi jingine linaingilia hapo ndio hakuna cha mahakama wala police unanyooshwa mchana kweupeeee
 
japo huwa sipatagi [HASHTAG]#Tag[/HASHTAG] yako, ila siku zote huwa nakueshimu kwa kunitendea haki....kuleta hizi mada.
 
Mijitu mikatili balaa nikajua mdudu [emoji200][emoji200] kumbe miili ya watu daah!
 
Mkuu 18 Street gang,Ms- 13 na Los Zetas haya yote ni kitu kimoja, Yameanzishwa tofauti lakini wana ushirika mmoja.
Mkuu labda hatujaelewana. Anyways hizi gangs huwa zina allies na foes, kwamaana kwamba kuna gangs zibafanya business pamoja lakini wana maadui ambao ni common, na mara nyingi huwa wanakuwa allies kwa gangs kubwa kubwa kama Mara Salvatrucha na gangs nyingine zenye deep roots
 
nahitaji kufuatilia Uzi huu kwa jirani sana. Mimi ni RAIA wa Mexico ila Niko Tz kwa Bahati njema
 
Sio rushwa mzee ni ile system yao ya plata o plomo.usipokubali hongo maanake umekubali wewe na familia yako kwenda ahera town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…