Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umenichekesha sana.Unapoona the bold anachelewa kutuletea updates ujue ni huyu mdada ndio chanzo. The bold akiwa anaandika huyu mdada anakuwa anamsumbua mara amshike mikono, mara amsumbue mabegani, mara amwambie muda wa kulala umefika.... Na ukimuudhi tu huyu mdada hata updates zenyew utazisikia bombani.... usimuudhi huyu mdada tafadhali
Asante