La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

I'm the king of the trap,
El chapo Jr
anywhere on the map,
I bring it to you.
El chapo Jr El chapo Jr
El chapo Jr El chapo Jr
El chapo Jr El chapo Jr

I wear Versace like it's a Nike, don't you like it do you,
I bet you feel a bankroll, if I bump into you oh yeah,

Chopper bullets flying everywhere, go them
chopper bullets flying everywhere,
223 choppers clip as long as Stacey.
Sinaloa cartel gotta a millions
F.u.c.k em los zetas mother fucker
ass gangster.
El chapo Jr El chapo Jr
El chapo Jr El chapo Jr
El chapo Jr El chapo Jr.
 
Bold tutagi wote, kwani unajua wangapi tunafuatilia vitu vyako adimu? Tuko wengi sasa naona mna ki group chenu cha kufaidi
 
Kumbe hawa La Ultima Letra ni hatari zaidi ya ISIS. Bado najiuliza mbona ISIS ndio wanaoogopwa sana na Waamerika wakati jirani na kwao kuna watu hatari kama hawa La Ultima Letra.
Hawa wanauwana wao kwa wao...biashara hiyo soma vizur utaelewa hawana time na watu ambao hawajiusishi kwenye mishe zao,watoto ,wamama nk


Sasa ISIS akilenga jamii flan analipua mpk watoto
 
Ila kama sijui nmesoma.fresh au.vip..ni kwamba kati ya hao 30 wa kwanza walianza anza moshe mwaka 1999 yule Z1 aliuwawa na cheo akachukua Z3 ..ila mpk sasa kati ya hao 30 wa.mwanzo kuna walio kufa na wengine wamekamatwa ..


Saizi los.zetas waliopo sio.balaa kama hao wa.mwanzo,inasemakama walio kuwaa balaa zaid ya wale makomandoo wanao pasua matafoli pale uwanja wa taifa...


Hivi kwann hawa.jamaa wanakamatwa sana??

Je kusalitiana kwakuwa wote wapo.after money au??
 
Mexico haina Serikali kuanzia raisi mpaka mtumishi wa chini kabisa wote ni wapuuzi.
Nchi ya hovyo sana ile.
 
Bold tutagi wote, kwani unajua wangapi tunafuatilia vitu vyako adimu? Tuko wengi sasa naona mna ki group chenu cha kufaidi
JF ine members laki tatu unusu na zaidi.! Siwezi kutag member wote..

Unatakiwa unambie nikuweke kwenye taglist kama unapenda upate taarifa hataka kuhusu makala zangu.. Au nifollow
 
Wamewapa mwanya haya magenge yameota mizizi kiasi kwamba wao ndio kama serikali yenyewe..

kama serikali inashindwa kuzuia mauaji hayo basi kusiwepo na serikali.........wanalipa kodi na je wanaisaidia budget ya serikali?
 
Back
Top Bottom