Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #261
Usijali mkuu..nimeliona,my apology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu..nimeliona,my apology
Hahahahah.! Umeanza lini kuwa shilawadu??
Wanasiasa wanashindwa kuwagusa kwasababu wanasiasa wengi ni hizi Cartels ndio zimewaweka madarakani..kama serikali inashindwa kuzuia mauaji hayo basi kusiwepo na serikali.........wanalipa kodi na je wanaisaidia budget ya serikali?
Mbona mimi nimeguna tu?? Yani kuguna tu nafanyiwa ushilawadu??naanzia pale napoona pana habari moto inafaa kurushwa kwa wasikilizaji
Shukrani..Pomaja sana mkuu the bold.
Hakukuwa na ulazima wa kupost mguno wako.Mbona mimi nimeguna tu?? Yani kuguna tu nafanyiwa ushilawadu??
Namuanga mkono kabisa Trump kwa uamuzi wa kujenga ukuta kutenganisha Mexico na Marekani. Hiyo mihadarati si ndio iliyowaharibu akina Chidbenz?Wamewapa mwanya haya magenge yameota mizizi kiasi kwamba wao ndio kama serikali yenyewe..
Mbona mimi nimeguna tu?? Yani kuguna tu nafanyiwa ushilawadu??
Moto niliomuwashia ni siri yake [emoji4],ole wake siku arudie alichokifanya leo.
Hakukuwa na ulazima wa kupost mguno wako.
Ungebaki nao ungepungukiwa nini?[emoji35]
Ni vile tu yameshaisha...
Na leo iwe mwisho [emoji135].
Sorry hny.! Au niongeze apology ya public juu ya ile niliyokuomba peke yetu..Hakukuwa na ulazima wa kupost mguno wako.
Ungebaki nao ungepungukiwa nini?[emoji35]
Ni vile tu yameshaisha...
Na leo iwe mwisho [emoji135].
Hahahahah! Akikikasirikaga unaweza kutamani ujifukie ardhini.. Uzuri within few minutes anapoa na kuanza kudeka hahahahahahbora umetoa msamaha mapema la sivyo jioni ya leo tungetoka bila 😛
Nilishaandika tayari kuhusu Pablo Escobar! Soma hapa Plata O Plomo: Ulimwengu Wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmojanikiwa waangalia hawa jamaa mabaki ya waitaliano sipati picha maana hawajui biashara nyingine tofauti na uhalifu..!!vinaroho mbaya sana hivi vijamaa,vinapenda starehe na ufuska balaa yaani maisha ya kipedeshee wakina ndama wakalale...asante sana the Bold njoo basi awamu nyingine story ya lafamilia na mbabe Pablo Escobar