Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

Mama Mkwe ni mama yako ujue, MSINGI alikuwa anakolezea undugu
 
Tatizo lako kijana unadhani kwa umri kama wa mzee wako hawahitaji radha!
Wewe unapojifungia na mkeo unajiona mjanja kuliko mzee sioo?
Mzee yupo kwako kitambo unadhani hizo makinikia zikae ndani kwake tu bila kuzitoa?

Hajafanya kosa kutafuna mtu asiye ndugu yake.
 
Baba yako yupo kwenye 40s nawe tayari umeshaoa, Hope age yako ni below 23 Na mkeo atakuwa below 20
By the way mzee kupiga Mama mkwe sidhani kama ni noma ni kawaida tu hiyo huyo ni mzazi mwenzie
 
Hii stor ni ya kitot sana. Dingi yupo early 40's. Je wew una umri gan? Bila shaka wew una early 20's or late 10's ndo ue umeoa sawa(posible) Umejenga nyumba yenye vyumba vingi tu? Kwa maisha aya haiwezekan kwa kijans wa late 10's au early 20's. Jipange uje na Stor inayodanganyika vizur
 
Nimekuelewa mkuu. Ila isingekuwa ndani mwangu jamani.
 
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Hahaaaa hesabu sio Paidii skwea ova foo! Jamaa kasahau uhalisia wa hesab simple tu ya dunia
 
Kwani mama Mkwe wako ni Mama mkwe wa Baba yako pia
Ingesema yenyewe kwa kugoma kudisa kama ingekuwa Norma
Bado wote ni wazazi wako tena daraja la MamaMkwe limepanda. Mwanamke aliyona utupu wa baba yako ni Mama Yako
Ikikuuma nawe lipiza kwa mtoto wake yaani mkeo
 
Badala ushukuru mzee hajatafuna kuku na kifaranga wake,we unakimbilia kutoa laana...acha roho mbaya kijana.
 
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Hahahah... Yani anatuona kama hatujui hesabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…