Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endelea kusoma kuna sehemu nimeyatolea ufafanuzi haya maswala ya umri.Hahahah... Yani anatuona kama hatujui hesabu..
Watu wenye stress za maisha utawajuwa tu. Mkuu ungefunua tu biblia kuna mambo ya kikubwa usipoteze muda kusoma mambo ya kitoto. Au we ni miongoni mwa watu waliokuwa wakituibia mchanga wa dhahabu? Hovyo sanaYani huyo dingi ni noma kinachofuata ni wewe n mkeo kugegedwa ,shubamiiit story za kitoto usilete hapa
Nimeyaweka wazi hapo juu . 44 by 27Kwa takwimu tu za miaka ya baba yko,wew ni muongo tena wa kutupwaa!!!
Hapana mimi mwenyewe ninamachungunayo sana. Kwa mara ya kwanza nimemuelewa jpm.Unataka kutusahaulisha makenikia?
Peleka hizo stress kwa mama mkweWatu wenye stress za maisha utawajuwa tu. Mkuu ungefunua tu biblia kuna mambo ya kikubwa usipoteze muda kusoma mambo ya kitoto. Au we ni miongoni mwa watu waliokuwa wakituibia mchanga wa dhahabu? Hovyo sana
No mkuu jamaa yuko sahihi mi mwenyewe wazaz wapo early 40s mi niko mid 20 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwenye jamii za makabila ya kutanzania inawezekanaRudia hesabu zako watakua early 20
No mkuu jamaa yuko sahihi mi mwenyewe wazaz wapo early 40s mi niko mid 20 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwenye jamii za makabila ya kutanzania inawezekanaRudia hesabu zako watakua early 20
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Sasa inakuhusu nini pengine ingekuwa mama yako ndio kapandwa na baba wa mkeo ningekueleewaI hope mko ok humu. Mwenzenu akili yangu imevurugika baada ya masikio yangu kusikia kishichosikika. Kwa wakati huu niko kwenye jiji moja maarufu hapa tz. Mzee wangu yuko kwenye his early 40's na mamkwe pia yuko kwenye age hizo hizo. Sasa tuko na mzee wangu tangia mwezi wa nne, kuna maswala yake fulani anazifuatilia hapa town. Mamkwe wangu pia ana kama wiki tatu sasa, alikuja baada ya binti yake kuugua kidogo na kuwaona wajukuu zake. Kwangu tumeshajenga nyumba yenye vyumba vingi tu vya kutosha , kwa hiyo mzee wangu analala kwenye chumba chake, mamkwe pia pamoja na housegirl naye analala kivyake. Sasa juzi baada ya taifa stars kuniharibia siku, nkaenda zangu kulala huku hawa wazazi wetu pendwa wakiendelea kucheki muvi pamoja na mjakazi wetu. Sikubahatika kupata usingizi haraka ikanibidi nizame jf kidogo ili nipunguze stress kidogo. Sasa ilipofika mida ya saa sita hivi nkapata warning ya betery low na chaja mpaka sebuleni. Sasa kipindi naenda sebuleni kwenye korido ya chumba anacholala mamkwe nkasikia sauti ile ya mahaba kwa mbaali. Yaani walikuwa kwenye climax. Mama yangu!!!! Nilijiuliza maswali mengi huku nikiganda pale pale. Gafla nkasikia sauti ya mzee akikohoa kwa mbali. Daaaaaah!!! Niliishiwa nguvu ghafla hata chaja nkashindwa kwenda kuchukuwa nkarudi zangu chumbani. Mke wangu alikuwa na shift ya usiku kwa hiyo hakwepo kwa muda huo. Sijamwambia chochote ila hii swala inanitesa kweli kweli. Mzee wangu huwa ni mhuni namjua vizuri ila kwa nini afanye kitu kama hii ndani mwangu? Alafu kwa mamkwe???? Nimuitaje sasa mamkwe? mamdogo? Au mzee wangu ndo hivo tena amekuwa bamkwe? Jamani naombeni ushauri wenu akili yangu haufanyi kazi.
Alafu ameiga uandishi wa mtu fulani hivi humu jamviniWatoto wa f 6 mnasumbua sana humu na vistory vyenu vya kutunga