kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Ipo hivi! Opposite sex wakiitana shemeji maana yake ni kuwa ni halali kujongea katika karamu ya Bwana.achana na mambo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hivi! Opposite sex wakiitana shemeji maana yake ni kuwa ni halali kujongea katika karamu ya Bwana.achana na mambo yao
mapenzi tu ni sawa ukatae mdogo wako kuolewa na mdogo wa mke wakoIpo hivi! Opposite sex wakiitana shemeji maana yake ni kuwa ni halali kujongea katika karamu ya Bwana.
Mbona na hiyo imo na ni nzuri kweli kweli maana watoto wenu watakuwa ni ndugu haswamapenzi tu ni sawa ukatae mdogo wako kuolewa na mdogo wa mke wako
kabisa basi na baba yako mwache afaidiMbona na hiyo imo na ni nzuri kweli kweli maana watoto wenu watakuwa ni ndugu haswa
Yaani hata mimi nimejiuliza hilo swali maana mie niko umri Fulani hivi nimepiga hesabu nikaona kama huyo dogo ndio angekuwa ni mwanangu yule wa kujifunzia sekondari basi angekuwa form four now ila yeye tayari ameoa na ana nyumba. Kweli JF inabidi tuanzishiwe jukwaa la wazeeDuh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Ahsante kwa ushauri wako mkuu, kuna watu hawajaamini wanaishiwa kuniandama kwa kuzingatia age factor. Hivi hawa hawajui ndoa ya kijijini jamani? Mi mzazi wangu hajasoma kiviile.Hawatakuelewa sema hao wazazi wameshindwa kujizuia, wangeyafanya hayo nje ya nyumba yako. Wote hawafai
Muwezeshe Mzee arudi kwake na hata mamamkwe pia arudi kwake. Kumbuka mlamba asali halambi mara moja ni lazima wataendeleza .
Poa ila namjuaga sana mzee, huwa hatuliiLaana kuita baba yako mhuni. Acha mara moja!!!
Hahaha nimekuelewa sana mkuu. Thank youBaba yako ni mdogo sana. Ningekuwa ni mimi na hiyo age kisha umeoa basi ningehangaika na mkeo na bila shaka tungeshea hata watoto. Kwenye mambo ya sex huwa najivua vyeo vyote na kubaki na neno "uanaume" na kinachokuja mbele yangu kama kikinitamanisha basi nautendea uanaume wangu haki.
Hilo la kutembea na mamkwe mbona ni la kawaida sana?? Emb acha wivu bwana. Sasa ulitaka apige punyeto akiwa ndani kwako?
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Daa bora umenisaidia yaani watu hawaelewi kabisa . tatizo kuna watu wamezaliwa mjini hawajawai tembeaVijijini watu wanaolewa na kuzaa wangali wadogo sana mid 15-18 na nashangaa wanapohoji umri wako wakati Tanzania kuna mpaka mabalaza , matamasha ya kuzuia ndoa za utotoni.
Mmmm hata hunielewi.Kwahiyo babako alikuzaa akiwa na miaka 10?
Nimekuelewa nduguHuyo ma mkwe wako bado ana mume? The principle is, 'Ukiona neno, usiposema neno, hutopatwa na neno'! Kwa hiyo wewe piga kimya...
Ahsante mkuu kwa kunisaidia kuwaelesha hawa watuNo mkuu jamaa yuko sahihi mi mwenyewe wazaz wapo early 40s mi niko mid 20 [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwenye jamii za makabila ya kutanzania inawezekana
Nipe siri best kuoa na kujenga nyumba ya vyumba vingi kwa umri huoNoo sijautunga mkuu. Kama unajuwa ndoa za vijijini utanielewa. My father is just 17 years older than me na nko na 27 years
Wew dogo acha kutudanganya yaan kwa umri huo umeisha jenga na umeisha oa ulikuwa unafanya kazi gani iliyo kupatia kipato hicho da ama kweli muongo ni muonga tu .pumbavI hope mko ok humu. Mwenzenu akili yangu imevurugika baada ya masikio yangu kusikia kishichosikika. Kwa wakati huu niko kwenye jiji moja maarufu hapa tz. Mzee wangu yuko kwenye his early 40's na mamkwe pia yuko kwenye age hizo hizo. Sasa tuko na mzee wangu tangia mwezi wa nne, kuna maswala yake fulani anazifuatilia hapa town. Mamkwe wangu pia ana kama wiki tatu sasa, alikuja baada ya binti yake kuugua kidogo na kuwaona wajukuu zake. Kwangu tumeshajenga nyumba yenye vyumba vingi tu vya kutosha , kwa hiyo mzee wangu analala kwenye chumba chake, mamkwe pia pamoja na housegirl naye analala kivyake. Sasa juzi baada ya taifa stars kuniharibia siku, nkaenda zangu kulala huku hawa wazazi wetu pendwa wakiendelea kucheki muvi pamoja na mjakazi wetu. Sikubahatika kupata usingizi haraka ikanibidi nizame jf kidogo ili nipunguze stress kidogo. Sasa ilipofika mida ya saa sita hivi nkapata warning ya betery low na chaja mpaka sebuleni. Sasa kipindi naenda sebuleni kwenye korido ya chumba anacholala mamkwe nkasikia sauti ile ya mahaba kwa mbaali. Yaani walikuwa kwenye climax. Mama yangu!!!! Nilijiuliza maswali mengi huku nikiganda pale pale. Gafla nkasikia sauti ya mzee akikohoa kwa mbali. Daaaaaah!!! Niliishiwa nguvu ghafla hata chaja nkashindwa kwenda kuchukuwa nkarudi zangu chumbani. Mke wangu alikuwa na shift ya usiku kwa hiyo hakwepo kwa muda huo. Sijamwambia chochote ila hii swala inanitesa kweli kweli. Mzee wangu huwa ni mhuni namjua vizuri ila kwa nini afanye kitu kama hii ndani mwangu? Alafu kwa mamkwe???? Nimuitaje sasa mamkwe? mamdogo? Au mzee wangu ndo hivo tena amekuwa bamkwe? Jamani naombeni ushauri wenu akili yangu haufanyi kazi.
Yani huyo dingi ni noma kinachofuata ni wewe n mkeo kugegedwa ,shubamiiit story za kitoto usilete hapa
Niliona magumashi elimu ya bongo nkaishia form 6 tukaongea na mzee akaniachia kamradi fulani hivi . baada ya miaka 2 na nusu nikanunua kiwanja na kujenga. Pia nilipata ushirikiano mkubwa kotoka kwa wife.Nipe siri best kuoa na kujenga nyumba ya vyumba vingi kwa umri huo
Nashukuru kwa tusi .kumbuka kuna njia nyingi sana za kupata mali. Kijitafutia kwa nguvu, bahati na sibu, kurithi, kwa njia ya uwizi na utapeli na mengine mengi. Naona wewe umekariri njia moja tu ya kutafuta mwenyewe kwa nguvu na akili. Pole sanaWew dogo acha kutudanganya yaan kwa umri huo umeisha jenga na umeisha oa ulikuwa unafanya kazi gani iliyo kupatia kipato hicho da ama kweli muongo ni muonga tu .pumbav