Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ULITAKA ULALE NA MAMA MKWE WAKO???I hope mko ok humu. Mwenzenu akili yangu imevurugika baada ya masikio yangu kusikia kishichosikika. Kwa wakati huu niko kwenye jiji moja maarufu hapa tz. Mzee wangu yuko kwenye his early 40's na mamkwe pia yuko kwenye age hizo hizo. Sasa tuko na mzee wangu tangia mwezi wa nne, kuna maswala yake fulani anazifuatilia hapa town. Mamkwe wangu pia ana kama wiki tatu sasa, alikuja baada ya binti yake kuugua kidogo na kuwaona wajukuu zake. Kwangu tumeshajenga nyumba yenye vyumba vingi tu vya kutosha , kwa hiyo mzee wangu analala kwenye chumba chake, mamkwe pia pamoja na housegirl naye analala kivyake. Sasa juzi baada ya taifa stars kuniharibia siku, nkaenda zangu kulala huku hawa wazazi wetu pendwa wakiendelea kucheki muvi pamoja na mjakazi wetu. Sikubahatika kupata usingizi haraka ikanibidi nizame jf kidogo ili nipunguze stress kidogo. Sasa ilipofika mida ya saa sita hivi nkapata warning ya betery low na chaja mpaka sebuleni. Sasa kipindi naenda sebuleni kwenye korido ya chumba anacholala mamkwe nkasikia sauti ile ya mahaba kwa mbaali. Yaani walikuwa kwenye climax. Mama yangu!!!! Nilijiuliza maswali mengi huku nikiganda pale pale. Gafla nkasikia sauti ya mzee akikohoa kwa mbali. Daaaaaah!!! Niliishiwa nguvu ghafla hata chaja nkashindwa kwenda kuchukuwa nkarudi zangu chumbani. Mke wangu alikuwa na shift ya usiku kwa hiyo hakwepo kwa muda huo. Sijamwambia chochote ila hii swala inanitesa kweli kweli. Mzee wangu huwa ni mhuni namjua vizuri ila kwa nini afanye kitu kama hii ndani mwangu? Alafu kwa mamkwe???? Nimuitaje sasa mamkwe? mamdogo? Au mzee wangu ndo hivo tena amekuwa bamkwe? Jamani naombeni ushauri wenu akili yangu haufanyi kazi.
Wee vp aise umeshanifanya nimepaliwa na chai huku watu wananishangaaLaana gani sasa?!ww mbona unatembea na mtt wa mama mkwe wako
Kwahiyo babako alikuzaa akiwa na miaka 10?Noo sijautunga mkuu. Kama unajuwa ndoa za vijijini utanielewa. My father is just 17 years older than me na nko na 27 years
Vijijini watu wanaolewa na kuzaa wangali wadogo sana mid 15-18 na nashangaa wanapohoji umri wako wakati Tanzania kuna mpaka mabalaza , matamasha ya kuzuia ndoa za utotoni.Nimeyaweka wazi hapo juu . 44 by 27
Hawatakuelewa sema hao wazazi wameshindwa kujizuia, wangeyafanya hayo nje ya nyumba yako. Wote hawafaiNimeyaweka wazi hapo juu . 44 by 27
Muulize HG alikuwa wapi?Watoto wa f 6 mnasumbua sana humu na vistory vyenu vya kutunga