Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Non of his businessMkuu we ulienda kusikiliza mlangoni.
Na kungekuwa na dirisha ungechungulia kabisa.
Pole yako mkuu.
Chai tuuu hizi km chai nyngn tuu...huyu ni mtu mzm tuu...watoto wa siku hizi hawana uthubutu wa kuandika hivi....Hii stor ni ya kitot sana. Dingi yupo early 40's. Je wew una umri gan? Bila shaka wew una early 20's or late 10's ndo ue umeoa sawa(posible) Umejenga nyumba yenye vyumba vingi tu? Kwa maisha aya haiwezekan kwa kijans wa late 10's au early 20's. Jipange uje na Stor inayodanganyika vizur
Hapo maana yake ni kwamba huyu jamaa na mkewe wana miaka 20+, maelezo yanaonesha kijana ameshajenga nyumba tayari tena ndani ya jiji kubwa katika umri wake wa 20+ ambao kwa kukadilia tu haujafika 25. Connect the dot.Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Story ya kuundaunda mpaka anadanganyaDuh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Hahahaha duuuuu nimecheka mbaya mkuuLaana gani sasa?!ww mbona unatembea na mtt wa mama mkwe wako
Unataka kusema siku ya harusi wewe hukumpiga busu mke wakoI hope mko ok humu. Mwenzenu akili yangu imevurugika baada ya masikio yangu kusikia kishichosikika. Kwa wakati huu niko kwenye jiji moja maarufu hapa tz. Mzee wangu yuko kwenye his early 40's na mamkwe pia yuko kwenye age hizo hizo. Sasa tuko na mzee wangu tangia mwezi wa nne, kuna maswala yake fulani anazifuatilia hapa town. Mamkwe wangu pia ana kama wiki tatu sasa, alikuja baada ya binti yake kuugua kidogo na kuwaona wajukuu zake. Kwangu tumeshajenga nyumba yenye vyumba vingi tu vya kutosha , kwa hiyo mzee wangu analala kwenye chumba chake, mamkwe pia pamoja na housegirl naye analala kivyake. Sasa juzi baada ya taifa stars kuniharibia siku, nkaenda zangu kulala huku hawa wazazi wetu pendwa wakiendelea kucheki muvi pamoja na mjakazi wetu. Sikubahatika kupata usingizi haraka ikanibidi nizame jf kidogo ili nipunguze stress kidogo. Sasa ilipofika mida ya saa sita hivi nkapata warning ya betery low na chaja mpaka sebuleni. Sasa kipindi naenda sebuleni kwenye korido ya chumba anacholala mamkwe nkasikia sauti ile ya mahaba kwa mbaali. Yaani walikuwa kwenye climax. Mama yangu!!!! Nilijiuliza maswali mengi huku nikiganda pale pale. Gafla nkasikia sauti ya mzee akikohoa kwa mbali. Daaaaaah!!! Niliishiwa nguvu ghafla hata chaja nkashindwa kwenda kuchukuwa nkarudi zangu chumbani. Mke wangu alikuwa na shift ya usiku kwa hiyo hakwepo kwa muda huo. Sijamwambia chochote ila hii swala inanitesa kweli kweli. Mzee wangu huwa ni mhuni namjua vizuri ila kwa nini afanye kitu kama hii ndani mwangu? Alafu kwa mamkwe???? Nimuitaje sasa mamkwe? mamdogo? Au mzee wangu ndo hivo tena amekuwa bamkwe? Jamani naombeni ushauri wenu akili yangu haufanyi kazi.