Laana!!! Baba mzazi anatembea na mamkwe wangu

Chai tuuu hizi km chai nyngn tuu...huyu ni mtu mzm tuu...watoto wa siku hizi hawana uthubutu wa kuandika hivi....
 
Unamuonea wivu baba yako tu wewe hunalolote,sasa ulitegemea amukunje housegirl au mkeo ndo ungeona ni poa??!
Acha uduanzi wote wazazi wenu
 
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Hapo maana yake ni kwamba huyu jamaa na mkewe wana miaka 20+, maelezo yanaonesha kijana ameshajenga nyumba tayari tena ndani ya jiji kubwa katika umri wake wa 20+ ambao kwa kukadilia tu haujafika 25. Connect the dot.
 
Mkuu hapo hakuna laana zaidi ni mibaraka tele pia jiandae kupokea mdogo wako huku ni shemejiyo pia
 
Kipindi nasoma soma magazeti ya shigongo kunastori nilisoma kama hiyo kwahiyo muwe mna wa acknowledge waandishi halisi
 
Duh!! Wazazi wapo in early 40's, kama waliwazaa kwa kuwahi maana yake waliwazaa in early 20's, ikimaanisha wewe ma mkeo mpo kwenye late 10's. Kwa hapo mi naomba niishie hapohapo.
Story ya kuundaunda mpaka anadanganya
 
Hivi Kama baba yako alikuwa na miaka 17 wakati unazaliwa mama yako si alikuwa bado kabinti kadogo?
Usitufanye wajinga na story yako ya kutunga
 
Ameunganisha familia yako na mkeo ziendelee kuwa imara.
 
wewe una miaka mingapi..... maana dingi yako kama ni 40yrs...... bado moto uko mkali ajabu.....hata mkeo akijishebedua anatunguliwa.....shida iko wapi bana..... wanakula vizuri kwa wanao... miili inahemka....papo hapo
 
unaujua umri sahihi wa Baba yako Wewe?!
Kuhusu laana haipo hata kidogo. Hao sio ndugu kabisa. Kumbuka wanashinda wanaangalia series kutwa mzima unategemea nini?!
 
Baba ako anastahili pongezi kubwa sana. Hakuna laana ataendelea kua babako tu. Pay him a great respect. Pili, never on Earth usimwambie mkeo lolote kuhusu wazazi wenu kaa kimya ndo uanaume. Tumeumbwa na koo kubwa than women. Ulitaka mfaidi ninyi tu wao wasifaidi matunda yao? Mbona ninyi mnafaidi matunda yao?
 
Hapo mimi sijakuelewa,unamaanisha unamhurumia
mama mzazi kwa kusalitiwa na baba yako,au unamhurumia
baba mkwe kwa kusalitiwa na mke wako?
 
Unataka kusema siku ya harusi wewe hukumpiga busu mke wako
mbele yao? kama ni laana basi tukomeshe kufanya mambo
ya kimahaba mbele ya wazazi wetu,tukiendeleza nao wanatafuta mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…