Laana: Diamond kaharibu uwanja Mbeya, marekebisho mwezi mzima, timu za Mbeya kuchezea Iringa

Sasa laana iko wapi hapo?tulia na mwaki wafanye mchakato wa kurekebisha uwanja ..ila nahakika uwanja ulikuwa wa ovyo show imeleta kisingizio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajali zipo ata kwenye ngono kuna ukimwi lakini watu hawawezi acha kugegedana eti kisa ukimwi nafikiri nimeeleweka
 
Uchawi sio mpaka upae angani nimeamini
 
Hivi huu uwanja ni wa CCM au jiji/serikali?
 
Simba kageuka nyau hajui kutoa show ya maana kabaki kuharibu uwanja

Next target treni yetu hadi inafika kigoma uharibifu utakua mkubwa sana
 
Wabongo tulivyo tutataka king kiba naye apewe uwanja aingize watu bure tuone level yake ya uharibifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…