Laana: Diamond kaharibu uwanja Mbeya, marekebisho mwezi mzima, timu za Mbeya kuchezea Iringa

Sasa laana iko wapi hapo?tulia na mwaki wafanye mchakato wa kurekebisha uwanja ..ila nahakika uwanja ulikuwa wa ovyo show imeleta kisingizio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.

Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana, Timu ya mpira ya prisons mbeya ilitakiwa icheze na yanga katika uwanja huu ila haitawezekana badala yake timu hizo zitachezea uwanja wa iringa.

Mashabiki walijaa wengi sana uwanjani, wakati huo huo mashabiki zaidi ya elfu 5 walikuwa nje ya uwanja kwa kukosa nafasi.

Ni rekodi nzuri kwa diamond kujaza uwanja namna hii katika historia ya mbeya lakini kafanya shughuli za uwanja zisimame mwezi mzima kwa uharibifu uliofanywa na nyomi la mashabiki wake.

Masharti yakazwe katika kumkodisha diamond viwanja vya matamasha maana anajaza sana watu wanaopelekea uharibifu
Ajali zipo ata kwenye ngono kuna ukimwi lakini watu hawawezi acha kugegedana eti kisa ukimwi nafikiri nimeeleweka
 
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.

Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana, Timu ya mpira ya prisons mbeya ilitakiwa icheze na yanga katika uwanja huu ila haitawezekana badala yake timu hizo zitachezea uwanja wa iringa.

Mashabiki walijaa wengi sana uwanjani, wakati huo huo mashabiki zaidi ya elfu 5 walikuwa nje ya uwanja kwa kukosa nafasi.

Ni rekodi nzuri kwa diamond kujaza uwanja namna hii katika historia ya mbeya lakini kafanya shughuli za uwanja zisimame mwezi mzima kwa uharibifu uliofanywa na nyomi la mashabiki wake.

Masharti yakazwe katika kumkodisha diamond viwanja vya matamasha maana anajaza sana watu wanaopelekea uharibifu
Uchawi sio mpaka upae angani nimeamini
 
Simba kageuka nyau hajui kutoa show ya maana kabaki kuharibu uwanja

Next target treni yetu hadi inafika kigoma uharibifu utakua mkubwa sana
 
Wabongo tulivyo tutataka king kiba naye apewe uwanja aingize watu bure tuone level yake ya uharibifu!
 
Back
Top Bottom