Mkuu hapa tunaongelea msimu wa 2017/2018 Yaya Toure alipoondoka Man City kutokana na madharau ya Pep.Hapo ndipo laana ilipoanzia na sio hio miaka ya nyumaMleta mada umeongea utumbo mtupu, Pep Alishinda Champion League 2011 wakati Toure tayari akiwa ameshamondoa Barcelona, Je hapo Hiyo lana ilikua haijaanza kazi?
Na jee huyo toure kama alikua yupo kwenye kiwango bora mbona baaa ya kuondoka City hatukumona tena kung'ara kwenye Soccer popote pale?
Anachokisema ni kweli mkuu.Pep ana hio scandal ya kuwa na ubaguzi wa rangi na hata kwa Etoo alituhumiwa hivyoficha Ujinga wako
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sanaMleta mada umeongea utumbo mtupu, Pep Alishinda Champion League 2011 wakati Toure tayari akiwa ameshamondoa Barcelona, Je hapo Hiyo lana ilikua haijaanza kazi?
Na jee huyo toure kama alikua yupo kwenye kiwango bora mbona baaa ya kuondoka City hatukumona tena kung'ara kwenye Soccer popote pale?
kikombe cha Madagascar baada ya cha babuNaye alikosa kombe lipi!
kwa nini maji yasiwaokoe Red Arrows?Kolo anavoteseka baada ya kumzingua zungu. Kaondoka na kila kitu chake hata ile mechi na Red arrows basi tu maji yaliwaokoa.
Ubora gani acha kuota mchanaHii ya juzi na Real Madrid ndo sikuamini kabisa... Man City walikuwa bora mno.. Lakini wapiii......
Anachokisema ni kweli mkuu.Pep ana hio scandal ya kuwa na ubaguzi wa rangi na hata kwa Etoo alituhumiwa hivyo
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
Mkuu hapa tunaongelea msimu wa 2017/2018 Yaya Toure alipoondoka Man City kutokana na madharau ya Pep.Hapo ndipo laana ilipoanzia na sio hio miaka ya nyuma
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
Duh! ..nilidhani utasema Simba wana laana ya Manara
Boss binafsi naona Pep hakuwa na kosa lolote kiuwezo Toure alikuwa hana nafasi katika kikosi ambacho pep alikuwa anaenda kukiunda. Me naona Africans tumetanguliza neno kubaguliwa sana.Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
Mkuu unataka tuanze kumuadili kiungo ounda Yaya Toure box to box midfielder. Yaan unasema hakuwa na kiwango?Boss binafsi naona Pep hakuwa na kosa lolote kiuwezo Toure alikuwa hana nafasi katika kikosi ambacho pep alikuwa anaenda kukiunda. Me naona Africans tumetanguliza neno kubaguliwa sana.
Naona wewe ndio unakuza mambo hata huelewi nini tunaongea. Issue ya Pep na Yaya kilicholalamiiiwa ni treatment aliyopata Yaya kuelekea kumaliza uwepo wake pale Man City na sio kuhusu kupangwa au kutopangwa dhidi ya mchezaji yeyote. Halafu malalamiko ni kwa waafrica na sio watu weusiKwanini munakataa kukubali kuwa Pep alipokuja City Toure hakuwa kwenye kiwango Bora? Toure alishaanza kula bench toka zama za Pelegrini kwanini Pep ndio awe mbaya? Hivi mulitaka Pep amuweka bao David SIlva au De bruyne acheze huyo Toure ama?
Waafrika wapo very emotional kwa ngozi nyeusi wenzao bila ya logic kabisa.
Hakuna mtu amepinga uwezo wa Yaya ila ni ukweli usio pingika alikuwa hafai kwenye project ya Pep, hicho tu.Mkuu unataka tuanze kumuadili kiungo ounda Yaya Toure box to box midfielder. Yaan unasema hakuwa na kiwango?
Pep ni mbaguzi sana keshajidhihirisha mara kadhaa
Mkuu unataka tuanze kumuadili kiungo ounda Yaya Toure box to box midfielder. Yaan unasema hakuwa na kiwango?
Pep ni mbaguzi sana keshajidhihirisha mara kadhaa
Naona wewe ndio unakuza mambo hata huelewi nini tunaongea. Issue ya Pep na Yaya kilicholalamiiiwa ni treatment aliyopata Yaya kuelekea kumaliza uwepo wake pale Man City na sio kuhusu kupangwa au kutopangwa dhidi ya mchezaji yeyote. Halafu malalamiko ni kwa waafrica na sio watu weusi