Laana katika mchezo wa soka

Laana katika mchezo wa soka

Mleta mada umeongea utumbo mtupu, Pep Alishinda Champion League 2011 wakati Toure tayari akiwa ameshamondoa Barcelona, Je hapo Hiyo lana ilikua haijaanza kazi?

Na jee huyo toure kama alikua yupo kwenye kiwango bora mbona baaa ya kuondoka City hatukumona tena kung'ara kwenye Soccer popote pale?
 
Mkuu hapa tunaongelea msimu wa 2017/2018 Yaya Toure alipoondoka Man City kutokana na madharau ya Pep.Hapo ndipo laana ilipoanzia na sio hio miaka ya nyuma
 
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
 
Anachokisema ni kweli mkuu.Pep ana hio scandal ya kuwa na ubaguzi wa rangi na hata kwa Etoo alituhumiwa hivyo

Waafrika tuna matatizo ya akili tunapendela kulialia sana, tunatia aibu kwa kweli.
Huo ubaguzi wa rangi uliku ni kwa Etoo na Toure tu? Vipi kuhusu Abidal na Keita ambao kwa kipindi chote alichokua Barca walikua ni wachezaji wake vipenzi. Vipi kuhusu Mendy City? Vipi kuhusu Boateng Buyern? Hawa hawakua weusi? Mbona waliweza kudumu kwene timu zake?
 
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
Mkuu hapa tunaongelea msimu wa 2017/2018 Yaya Toure alipoondoka Man City kutokana na madharau ya Pep.Hapo ndipo laana ilipoanzia na sio hio miaka ya nyuma

Huyo wakala wa Toure yeye ndie mwenye dhamana wakutoa hiyo laana? Wakati huo wa 2018 Pep tayari alishafundisha miaka miwili City bila ya kubeba Champion league, Na pia alishakaa Munich miaka mitatu nyuma nayo pia hakubeba Taji hilo. Kipindi chote hicho cha miaka 6 ukiunganisha na aliomalizia Barca alikosa kombe la Champion League kwa Laana ya nani?

Kikosi cha Munich alichofundisha Pep kilikua na UBora wa mara 2 zaidi zaidi ya hichi cha City na Pia Alishindwa kubeba Champion league, Ningeomba mutwambie tu je hiyo nayo ilikua ni laana?

Acheni kukariri mambo ya kipuuzi.
 
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana

Kwanini munakataa kukubali kuwa Pep alipokuja City Toure hakuwa kwenye kiwango Bora? Toure alishaanza kula bench toka zama za Pelegrini kwanini Pep ndio awe mbaya? Hivi mulitaka Pep amuweka bao David SIlva au De bruyne acheze huyo Toure ama?

Waafrika wapo very emotional kwa ngozi nyeusi wenzao bila ya logic kabisa.
 
Australia wamehama bara la Oceania(bara la Australia linaitwa Oceania kule FIFA) wamehamia Asia .

Oceania Wana nafasi 0.5 kushiriki World cup kwa maana ya kuwa Ukiwa bingwa kule unacheza play off dhidi namba tano wa Amerika Kusini(akina Uruguay, Chile,) au namba nne wa America kaskazini (akina Mexico,Costa Rica,USA..)

Ukishiriki Asia kombe la dunia Wana nafasi 4.5. Nne za moja kwa moja wa tano anacheza play off na kipengele cha juu hapo.

Sababu kuu ya Australia kufuzu mfululizo ni Australia kuhamia Asia kimichezo. Ushauri huo wa kuhama walipata Kutoka kwa mganga toka Zimbabwe?
 
Fuatilia kwa undani hiyo laana ilitolewa na wakala wa Toure mwaka 2018 baada ya Pep kumtreat ndivyo sivyo Yaya. Hata ivyo alikua keshakaribia ukingoni kwenye maisha yake ya soka ndio maana hakusikika sana
Boss binafsi naona Pep hakuwa na kosa lolote kiuwezo Toure alikuwa hana nafasi katika kikosi ambacho pep alikuwa anaenda kukiunda. Me naona Africans tumetanguliza neno kubaguliwa sana.
 
Mkuu unataka tuanze kumuadili kiungo ounda Yaya Toure box to box midfielder. Yaan unasema hakuwa na kiwango?

Pep ni mbaguzi sana keshajidhihirisha mara kadhaa
 
Kwanini munakataa kukubali kuwa Pep alipokuja City Toure hakuwa kwenye kiwango Bora? Toure alishaanza kula bench toka zama za Pelegrini kwanini Pep ndio awe mbaya? Hivi mulitaka Pep amuweka bao David SIlva au De bruyne acheze huyo Toure ama?

Waafrika wapo very emotional kwa ngozi nyeusi wenzao bila ya logic kabisa.
Naona wewe ndio unakuza mambo hata huelewi nini tunaongea. Issue ya Pep na Yaya kilicholalamiiiwa ni treatment aliyopata Yaya kuelekea kumaliza uwepo wake pale Man City na sio kuhusu kupangwa au kutopangwa dhidi ya mchezaji yeyote. Halafu malalamiko ni kwa waafrica na sio watu weusi
 
Mkuu unataka tuanze kumuadili kiungo ounda Yaya Toure box to box midfielder. Yaan unasema hakuwa na kiwango?

Pep ni mbaguzi sana keshajidhihirisha mara kadhaa
Hakuna mtu amepinga uwezo wa Yaya ila ni ukweli usio pingika alikuwa hafai kwenye project ya Pep, hicho tu.
 
Naona wewe ndio unakuza mambo hata huelewi nini tunaongea. Issue ya Pep na Yaya kilicholalamiiiwa ni treatment aliyopata Yaya kuelekea kumaliza uwepo wake pale Man City na sio kuhusu kupangwa au kutopangwa dhidi ya mchezaji yeyote. Halafu malalamiko ni kwa waafrica na sio watu weusi

Treatment gani mbay aaliyopewa? Au ilie ya kutofanyiwa Birthday?
 
Back
Top Bottom