- Thread starter
- #21
hizi ni ndoto za alinacha tena za saa tatu asubuhi kila kitu na kiasi na wakati baba,naangalia nina muda wangu wa kusali na kwenda kanisana ,napanga wakati huku nikimshirikisha mungu
ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu
unapanga ratiba yako ni mara ngapi umewahi kujiuliza kuwa mungu nimemweka no. 1? Wengi naweka mambo yenu mbele kwa kawaida mungu ana thamani ya 1 na mambo yako yana thamani ya 0
ukianza na mungu ukafuatisha mambo yako unathaman kama ifuatavyo. 100000 lakini ukianza na mambo yako unakuwa na thamani hii 000001 linganisha. Mtiini mungu kwanza
Last edited by a moderator: