(@laana) kwa wadau wa elimu.

(@laana) kwa wadau wa elimu.

hizi ni ndoto za alinacha tena za saa tatu asubuhi kila kitu na kiasi na wakati baba,naangalia nina muda wangu wa kusali na kwenda kanisana ,napanga wakati huku nikimshirikisha mungu
ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu

unapanga ratiba yako ni mara ngapi umewahi kujiuliza kuwa mungu nimemweka no. 1? Wengi naweka mambo yenu mbele kwa kawaida mungu ana thamani ya 1 na mambo yako yana thamani ya 0
ukianza na mungu ukafuatisha mambo yako unathaman kama ifuatavyo. 100000 lakini ukianza na mambo yako unakuwa na thamani hii 000001 linganisha. Mtiini mungu kwanza
 
Last edited by a moderator:
kuwa mjanja kama nyoka na usiwe na hatia kama njiwa, watu wanaosoma shule za kisabatho huwa wanalazimika kufuata masharti ya wasabatho, so hao wanafunzi wa TEKU walikuwa kwenye chuo cha KKKT hivyo they were supposed to abide hakuna kelele wala nini, itii mamlaka iliyo halali, Mungu hana siku ya kumwabudu, hizi jumamosi zimewekwa na wanadamu hatuna uhakika kama sabatho ndio siku ya jumamosi kwani hizi siku zimewekwa na wanadamu, the big issue ni kwamba wanafunzi hao wamefukuzwa kwa kukosa maarifa na kuvunja sheria ya chuo ya kukosa kufanya mitihani, mimi naamini wangefanya mtihani Mungu asingewapeleka motoni kwani walikuwa wanatimiza wajibu wa hapa duniani
 
Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.

Ya kaisari mpe kaisari,ya Sir.God mpe Sir.God thats fact,hakuna mjadala.
NB:Angalia sana uandishi wako
 
ya kaisari mpe kaisari,ya %sir.god mpe Sir.god thats fact,hakuna mjadala.
Nb:angalia sana uandishi wako

hivi wewe unajua ya kaisali ni yapi? Au linasikika masikioni tu? Sir. God siku hzi mmechukulia kuwa mungu ni wa mchezo kweli kumbe siku hzi anaongezewa Sir?
 
Last edited by a moderator:
kuwa mjanja kama nyoka na usiwe na hatia kama njiwa, watu wanaosoma shule za kisabatho huwa wanalazimika kufuata masharti ya wasabatho, so hao wanafunzi wa teku walikuwa kwenye chuo cha kkkt hivyo they were supposed to abide hakuna kelele wala nini, itii mamlaka iliyo halali, mungu hana siku ya kumwabudu, hizi jumamosi zimewekwa na wanadamu hatuna @uhakika kama sabatho ndio siku ya jumamosi kwani hizi siku zimewekwa na wanadamu, the big issue ni kwamba wanafunzi hao wamefukuzwa kwa kukosa maarifa na kuvunja sheria ya chuo ya kukosa kufanya mitihani, mimi naamini wangefanya mtihani mungu asingewapeleka motoni kwani walikuwa wanatimiza wajibu wa hapa duniani

kwamba hamna uhakika kama siku ya jumamosi ndiyo sabato siku bwana? Kumbe unaendaenda tu bila kujua. Hebu *fafanua hili
 
kuna kitu kimoja inatakiwa ujue wasabato hawana uwezo wa kulaani elimu anayeweza kulaani ni mungu tu.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hivi nani umewahi kumuona anaangamia kwa kukosa elimu ya kidunia? Maarifa unayoambiwa siyo hayo ndugu.
@mshike sana elimu usimwache aende zake,hiyo ni kweli kabisa ila katika kuishika usimwasi mungu kwa kuwafukuza watu wa mungu wala usiende mbali na mungu.
hahahahahah!!! hata Mungu anakushangaa kwamba hauna maarifa, Muangu aliposema hayo hakusema maarifa ya kimungu tu ama ya kidunia ila alisema maarifa na hapa alirefer maarifa ya aina zote kidunia nikiwa na maana ya elimu itupayo utash wa kuwweza kumiliki mazingira yetu vyema na maarifa ya Kimungu yatupayo uwezo wa kuish kwa nidham dunian.
unataka kutuaminisha kwamba elimu italaaniwa sababu ya hao 10-??damn loosers aisee mungu hafanyi hizo kazi sasahizi anawacheka sana hao wasabato anawacheka sana alafu anakazia ''watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa '' aisee gfsonwin kazi ipo my sisi hahaha
huyu ni mjinga wala hajui alisemalo wao waache kusoma wakidai eti Mungu hataki. ingelkuwa hivi Yesu alomponya kipofu siku ya sabato asingalimponya ila alisema ng'ombe lipi lililosahihi?? kumponya kipofu siku ya sabato ama kutokumponya??
 
kwa hekima yako hapo unakuwa umemwogopa mungu eti? Mungu akusadie kwa kweli nadhani unafanya usichokijua.

hivi ndugu kuna dhambi ngapi ambazo kila kukicha binadamu wanazifanya? Au kufanya mtihani siku ya sabato ndio dhambi kubwa kuliko yote? Chuoni kwetu kuna wasabato 13 wame-carry course kwa kutokufanya test, lakini wengi wao kwa kusengenya watu, ku-do, kuwa na chuki ndio wenyewe. Dhambi nyingine wafanye lakini kwa sabato ndio watakatifu.
 
Last edited by a moderator:
kwani mhindi ni mungu? Ninayemuogopa ktk dunia hii ni mungu tu na wala siyo ajira.

Kasome Luka 6 : 1 - 11. naomba na wengine msome ili tusaidiane kwenye uelewa wa hapo mahala.

Kwa wale wa RC waliosali Jumuiya Jumamosi iliyopita ya tarehe 7/9/2013 watakuwa wamesoma somo hili, ingawa waliishia mstari wa 5.
 
"Atheists are more intelligent than religious".
This is True Beyond Doubt! nakumbuka nikiwa o-level pale Mbeya Sec kulikua na mtu deep sana ktk sabato (Adam 2002/05) ila hakuwahi kupata 15% test ya maths, na kila jumamos tulisoma na kufanya tests na corrections! inaonesha hesabu ni ngumu sana kwao ndo maana hata hawa jamaa wameshindwa kutafuta thamani ya elimu ya juu na jumamosi moja tu. Huu ni mzaha, ni kutojali maisha na kuwa na hakika na mbingu ambayo bado hatujui tutafikaje.
 
Kasome Luka 6 : 1 - 11. naomba na wengine msome ili tusaidiane kwenye uelewa wa hapo mahala.

Kwa wale wa RC waliosali Jumuiya Jumamosi iliyopita ya tarehe 7/9/2013 watakuwa wamesoma somo hili, ingawa waliishia mstari wa 5.

sasa ina mana ili limekua jukwaa la dini bro mbna mnakua na kerere nyingi sana bwana hao ambao hawakufanya mtihani ni walitaka tu kama mtu upo seriously huwez kuacha kufanya mtihan vp bwna
 
Kila neno na tendo litaletwa hukumni. Naimani malaika aliyetumwa kwako leo atakuwa ameyaona yote ambayo umeandika kwa kuwakashi wana wa mungu ikiwa ni pamoja na kumkufuru roho.
Wakati mfalme wa ninawi alikotumwa yona kuwaambiakuwa baada ya siku kadhaa ninawi itaangamia mfalme akatangaza wote kujivika magunia na kujipaka masizi na kumlilia mungu,mungu naye akasikiliza maombi yao. Sasa imefika wakati wa kuamua kuiinua elimu kwa kuaangalia wapi taifa na watu wake wametanga mbali na mungu kwa kutotii amri zake na kutekeleza matukio ya kuwakosesha elimu kwa kuwafukuza watu wa mungu.
 
unapanga ratiba yako ni mara ngapi umewahi kujiuliza kuwa mungu nimemweka no. 1? Wengi naweka mambo yenu mbele kwa kawaida mungu ana thamani ya 1 na mambo yako yana thamani ya 0
ukianza na mungu ukafuatisha mambo yako unathaman kama ifuatavyo. 100000 lakini ukianza na mambo yako unakuwa na thamani hii 000001 linganisha. Mtiini mungu kwanza
ungekuwa unamjua MUNGU hata usingeandika jina lake kwa herufu ndogo.
 
sasa ina mana ili limekua jukwaa la dini bro mbna mnakua na kerere nyingi sana bwana hao ambao hawakufanya mtihani ni walitaka tu kama mtu upo seriously huwez kuacha kufanya mtihan vp bwna
Si suala la jukwaa la dini, ila tunajitahidi kumpa ushahidi wa tunachokisema mkuu
 
Kuna matukio mengi ya
ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa
nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa
ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana
na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.
kwenye Biblia si imeandikwa itiini mamlaka iliopo? Je hao wasabato wali-iti mamlaka?
Na niwapi ilipo andikwa kuwa sabato ni jumamosi?
 
Nayo siku ilikuwa siku ya maandalio,na sabato ikaanza kuingi...... Luka....
 
Back
Top Bottom