CDM walisema hawaitambui serikali ya CCM iliyotokana na uchaguzi Mkuu wa 2020 na hawatapokea ruzuku!
Kulikoni tena au jini CCM kabadilika kuwa mwema![emoji1787][emoji1787]
Yote yamekuja baada ya makubaliano kwenye maridhiano ya serikali na CHADEMA.Kila siku mnakumbushwa kuweka akiba ya maneno, leo ndio mnajua kuwa Ruzuku ipo kisheria na kikatiba ?, wakati mnasusa kuchukua mlikuwa hamjui kuwa ipo kisheria...
Siasa ni laana, unaambiwa kabisa usiwaamini wanasiasa sasa hiyo kazi au laana? Kwenye siasa kuna unafki,uongo, ushirikina, umalaya, rushwa n.kCDM walisema hawaitambui serikali ya CCM iliyotokana na uchaguzi Mkuu wa 2020 na hawatapokea ruzuku!
Kulikoni tena au jini CCM kabadilika kuwa mwema![emoji1787][emoji1787]
Hoja ilikuwa hawautambui uchaguzi na hadi sasa hakuna uchaguzi mwengine uliyofanyika.Uzuri hawaku amka asubuhi kusema hivyo. Wameamua hivyo baada ya vikao vya maridhiano na serikali kuondoa ujinga uliokuwepo.
Mnaendeleza kukuza jambo hili na wengi wenu nadhan mna tatizo la consistence, kuliko kuijadili ni vyema mkaja na solutions hasa serikali ktk hili. Pia itolewe 3b ili chama kisifanye kaz zake? Kama kwel una consistence kweny akili yako ulipaswa unilaum serikali cz hili ni kwao, despite hoja imetoka kwa Lema in wrong way au indirect way!!Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.
Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.
Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.
JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
Badala ya kuuwa vyama vya siasa akafa yeye ..Mungu fundi🏃🏃🏃Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.
Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.
Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.
JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
Sijui hata unaongea Nini ??
Sijui hata unajaribu kutetea Nini ?
Nadhani wivu tu unakusumbua baada ya kusikia CDM wameanza kupokea ruzuku.
Ruzuku ipo kisheria na kikatiba, mnapoambiwa mbadilishe katiba hamtaki halafu mnaleta wivu wa kijinga....
RUZUKU INGEFUTWA KWA VYAMA VYOTE.
kwa hio kipindi cha huyo magufuli vyama vilikufa hebu jibu haya maswali,Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.
Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.
Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.
JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
Hoja ilikuwa hawautambui uchaguzi na hadi sasa hakuna uchaguzi mwengine uliyofanyika.
Unapokea Batili? nyie kweli vichaa pilipili.
useme uchaguzi ulikua uchafuzi alafubuje uchukue mazao yake?
Endelea kupanua tu wenzako wanakula
Acha kuwa mshamba kwa mujibu wa LEMAHili jambo linakuzwa sana
Lema ni mmachame wa migombani hana lolote!Acha kuwa mshamba kwa mujibu wa LEMA