Laana ni kuchukua TZS Bilioni 3 ili mfanye siasa

CDM walisema hawaitambui serikali ya CCM iliyotokana na uchaguzi Mkuu wa 2020 na hawatapokea ruzuku!
Kulikoni tena au jini CCM kabadilika kuwa mwema![emoji1787][emoji1787]

Uzuri hawaku amka asubuhi kusema hivyo. Wameamua hivyo baada ya vikao vya maridhiano na serikali kuondoa ujinga uliokuwepo.
 
Kila siku mnakumbushwa kuweka akiba ya maneno, leo ndio mnajua kuwa Ruzuku ipo kisheria na kikatiba ?, wakati mnasusa kuchukua mlikuwa hamjui kuwa ipo kisheria...
Yote yamekuja baada ya makubaliano kwenye maridhiano ya serikali na CHADEMA.
 
CDM walisema hawaitambui serikali ya CCM iliyotokana na uchaguzi Mkuu wa 2020 na hawatapokea ruzuku!
Kulikoni tena au jini CCM kabadilika kuwa mwema![emoji1787][emoji1787]
Siasa ni laana, unaambiwa kabisa usiwaamini wanasiasa sasa hiyo kazi au laana? Kwenye siasa kuna unafki,uongo, ushirikina, umalaya, rushwa n.k

Siasa ni laana.
 
Uzuri hawaku amka asubuhi kusema hivyo. Wameamua hivyo baada ya vikao vya maridhiano na serikali kuondoa ujinga uliokuwepo.
Hoja ilikuwa hawautambui uchaguzi na hadi sasa hakuna uchaguzi mwengine uliyofanyika.
 
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.

Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.

Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.

JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
Mnaendeleza kukuza jambo hili na wengi wenu nadhan mna tatizo la consistence, kuliko kuijadili ni vyema mkaja na solutions hasa serikali ktk hili. Pia itolewe 3b ili chama kisifanye kaz zake? Kama kwel una consistence kweny akili yako ulipaswa unilaum serikali cz hili ni kwao, despite hoja imetoka kwa Lema in wrong way au indirect way!!
 
Usiniambie Lema kalipwa bilioni 3 ili akateme pumba zake majukwaani.

Kweli pesa za kuchezea zipo.
 
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.

Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.

Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.

JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
Badala ya kuuwa vyama vya siasa akafa yeye ..Mungu fundi🏃🏃🏃
 
Hawa wanasiasa uchwara wa bongolala wanajionaga wajanja sana kumbe weupe tu kichwani........wakishavimbewa pesa za umma wanazojigawia kiubwete ubwete tayari wanaona wengine wote hawana akili.
 
Sijui hata unaongea Nini ??

Sijui hata unajaribu kutetea Nini ?

Nadhani wivu tu unakusumbua baada ya kusikia CDM wameanza kupokea ruzuku.

Ruzuku ipo kisheria na kikatiba, mnapoambiwa mbadilishe katiba hamtaki halafu mnaleta wivu wa kijinga....

RUZUKU INGEFUTWA KWA VYAMA VYOTE.

Unapokea Batili? nyie kweli vichaa pilipili.

useme uchaguzi ulikua uchafuzi alafubuje uchukue mazao yake?

Endelea kupanua tu wenzako wanakula
 
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.

Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.

Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.

JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.
kwa hio kipindi cha huyo magufuli vyama vilikufa hebu jibu haya maswali,
1. Chama kipi kilikufa?
2.Kiliondolewa lin kwenye daftari la msajir?
3. kama vyama vilikufa ilikuwa lin kifo cha hivyo vyama?
4.kama vyama vilikufa kwanin huyo magufuli alipora uchaguz kwa kuengua wagombe wa vyama unavyosema vilikufa na kutengeneza kura fake?
5. kwanin tume ya uchaguz hadi leo haijaweka matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yake?
6. kama vyama vilikufa lini vilifufuka?
NB, naomba ujibu hayo maswali na ukishindwa nitakuweka kwenye kundi la wapumbavu kama walivyo uvccm na dukuma gang ambao kipindi cha nduli magufuli walinufaika na mfumo wake ikiwemo kuuwa watu na kupiga risas.
 
Hoja ilikuwa hawautambui uchaguzi na hadi sasa hakuna uchaguzi mwengine uliyofanyika.

Lini wametangaza hivyo kuwa wamekubali matokeo. Mngesoma kwanza kuhusu maridhiano, muelewe maana yake maana mnalazimisha uongo.
 
Unapokea Batili? nyie kweli vichaa pilipili.

useme uchaguzi ulikua uchafuzi alafubuje uchukue mazao yake?

Endelea kupanua tu wenzako wanakula

Punguza hasira , elewa kwanza maana ya maridhiano. Maana yake give and take.
 
Back
Top Bottom