FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
ah
watu mna hasira pole sana
Pumbavu kabisa hilo...
Wacha walitimue.
Unajuwa ktk Maisha kila mtu ana misimamo yake, tabia zake, itikadi zake, mapenzi yake nk nk nk nk.
Mtu anayeishi kwa kufuatilia mwenzie kafanya vipi nae aishi huyo ni sakala.
Huyo Dunga alitaka kupita mule alikopita Scolari mwaka 2002.
Lakini akasahau kuwa mwenzie alikuwa na wachezaji wa uhakika kwa mfano kutoka golini mpaka namba 6 walikuwa hawa, Marcos, mzee Cafu, Mzee Carlos, Roque Jr, Lucio na Edmilson.
Halafu kule mbele walikuwepo Gilberto, Juninho mzungu, The Saint, Rivaldo na Elgodo ama De Lima.
Sasa kwa timu hii hata ukimuacha Romalio basi hutakuwa na presha.
Na kweli kazi ilifanyika na watu wakabeba ndoo.
So unavyofanya kitu jitahidi kugundua na kufanya vitu kwa upeo wako na ujuzi wako.
Limemshuka sasa sijui hata kapotelea wapi, na wachambuzi wa soka woooote waliokuwa wanamsifia hapa jamvini kwa maamuzi yake ya kipuuzi wote wamepotelea Gizani.
watu mna hasira pole sana