Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

She is right, he can be impeached by the House but in order to be removed from office, the Senate has to approve the move but after holding a trial.View attachment 1289489

Sema ndio hivyo, mchakato ni wa kisiasa na wamegawanyika along party lines. Senate ipo controlled na Republicans kwahiyo it is highly unlikely wamkute na makosa.

Kwahiyo Trump kuondolewa ni vigumu mno na to be realistic, haiwezekani.
Nicely presented👏👏
 
Kwa hiyo mmezidiwa akili na hao wanao wachochea.....

Inakuwaje waumini wa dini ya haki..dini ya allah wazidiwe akili na makafiri....Kwahiyo ina maana waumini wa allah ni vilaza ??
Hii siyo sisi bali ni nyinyi mnaochochea kwa tamaa ya kuishi duniani kwa raha kubwa.Haikuwa hivyo Iraq.Libya na kwengine mpaka pale nyinyi mlipojipenyeza na kuwashika akili vijana wajinga mnaonza kwa kuwalewesha kwa madawa ya kulevya.
Hata pale juhudi za kupatana waislamu zikikaribia kufanikiwa huwa nyinyi mnazikwamisha kwa mambo ya kichochezi.Mfano pale visima vya mafuta vya Saudia mlipovipiga mabomu ili Saudia apigane na Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is right, he can be impeached by the House but in order to be removed from office, the Senate has to approve the move but after holding a trial.View attachment 1289489

Sema ndio hivyo, mchakato ni wa kisiasa na wamegawanyika along party lines. Senate ipo controlled na Republicans kwahiyo it is highly unlikely wamkute na makosa.

Kwahiyo Trump kuondolewa ni vigumu mno na to be realistic, haiwezekani.
you never got my point pls, impeachment can only go thro after senate votes, congress cant impeache the president, so the final decision to impeache trump is with the senate, so my point was very simple if the senate impeaches trump HE CANT REMAIN IN POWER, that was my point sir
 
Mkuu,

According to American Constitution there are two things:
• First; impeachment by The House
• Second; removal from office by the Senate

Impeachment starts if The House, after a series of committee investigations, believe the seating President has committed high crimes and misdemeanor and has therefore broken the Constitution.

Then this will be followed by a trial held in the Senate which if found guilty and 67% vote in favor of the removal from office, then Trump ataondoka WH. Otherwise ataendelea kubaki madarakani.

Kwahiyo; impeachment ni hatua ya kwanza kabisa Mkuu kwa mujibu wa Katiba yao. Unachoongelea wewe ni kuondolewa madarakani.
 
Hizo zitakuwa ni longolongo za kisiasa lakini kwa namna yoyote ile Marekani kuendelea kutawaliwa na Trump itadhoodfika na kuzipisha nchi nyengine zichukue nafasi yake ya kuwa taifa kubwa Na dunia nayo itazidi kudhurika.Tunaona kila siku anavyotia saini maazimio ya kuleta madhara kwa watu wa mataifa mengine.
Kwa ujumka Brexit ya Uiengereza na mazonge ya Trump nchini Marekani ni laana za Mwenyezi Mungu kwa mataifa hayo ambayo yameuwa watu wengi duniani na kuwatia watu ulemavu bila sababu za msingi.
 
1576904259739.png
 
Kama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.
Laana hakuna kitu kinaitwa laana dunia ya Mungu.Ijue misingi ya hicho kinachoitwa laana ndo elete hoja hapa.La sivyoManeno haya ndio yanageuka baraka kwa Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us wameonea watu kibao, wameua sana huko Vietnam, Iraq, Libya, South America wamekichafua sana kuua pande zote za dunia kwa vita na magonjwa ya kutengeneza Laboratory ,kama kweli laana inafika kwanini hawajaanguka tangia wameanza huo ushenzi wao 1945 hadi sasa!!?

Kama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us wameonea watu kibao, wameua sana huko Vietnam, Iraq, Libya, South America wamekichafua sana kuua pande zote za dunia kwa vita na magonjwa ya kutengeneza Laboratory ,kama kweli laana inafika kwanini hawajaanguka tangia wameanza huo ushenzi wao 1945 hadi sasa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile sisi binadamu tunaishi umri mfupi ndio maana mwaka 1945 mpaka leo unaona ni muda mrefu.Kwa Mwenyezi Mungu huu muda ni mfupi mno.Na unapoona jambazi fulani linaendelea na ubaya wake kila siku na bado kuendelea kuvuta hewa safi na kula chakula akipendacho na kulala na kuamka.Hizo ni huruma za Mwenyezi Mungu kumpa muda kufikiri juu ya uovu wake kwa kusikia watu wanavyodhurika na ujambazi wake na malalamiko yao.Akisdhindwa kutumia vizuri fursa hiyo hatimae huondoka mtupu na kwa hali ya fedheha.
Hivi yupo dhalimu yoyote duniani unayemfahamu aliyeondoka duniani kwa heshima.Na huko akhera ameandaliwa adhabu iumizayo na ya milele.Kumbuka jinsi Firauni alivyoishia na wengi wengineo hata kwenye enzi zetu hizi.
Tukirudi kwa Marekani nashangaa kwanini hujaona dilili za laana kwa taifa hilo.Hata miaka 100 haifafika tayari wamekuwa ni taifa la kituko.Wameshindwa kuwaondosha kwa nguvu watawala wengi walioahidi hata mwezi haufiki watakuwa wameshapotea..Hao wagomvi wao wala si watu wenye nguvu lakini kwa mipango ya Mwenyezi Mungu na kutupa mazingatio sisi, Marekani imbeaki inawakodolea macho tu.Angalia mataifa madogo kama Syria,Venezuela na Korea Kaskazini na hata Iran wako pale pale tangu enzi za Condoleeza Rice na Hillary Clinton.
Ni nafasi yako wewe kujuwa kuwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na huruma zake hazina kifani.
 
Sasa huyo Mungu ameshindwa kuwasaidia palestina..Ndio ataweza kweli kutoa laana kwa Hao ambao mnawaita watesi wa wa-palestina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wetu sisi na nyinyi ni Allah ambaye hana sifa ya kushindwa na chochote. Uendaji wake naona ndio unaokutatiza kwani unavyochukia wewe na kupenda ni tofauti na yeye aliyekuumba.Wewe unapochukia povu linakutoka na suluhisho unaona ni kpigana na aliyekuudhi na hata akifa hujali.Mwenyezi Mungu ni mwingi wa hekima na rehema.
Katika hali kama hiyo ukiona muda unasogea na anayedhulumu bado ana nguvu na anayedhulumiwa anaendelea kuuumia lakini hajakaa kimya analalamika sana na kuomba msaada.Huo ni muda wa mpito muhimu sana ili kila mmoja apate mazingatio.Kama atazinduka anayedhulumu sawa.Na kama atajiona mwamba kawaida Mwenyezi Mungu ana sifa ya kuwazunguka maadui wa viumbe wake na wale wanaomkufuru.Hakuna siku yule mbabe atadumu na ubabe wake lazima yule mnyonge atapewa nguvu ama ushujaa wa kupambana na hatimae mbabe atashindwa na kufedheheka.
Kuendelea kuteseka kwa wapalestina na kusikika kwa sauti zao kote duniani za kuvunjiwa majumba na kufukuzwa kwenye mashamba yao ni fursa muhimu za majirani na ndugu zao kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kujenga pepo zao kwa kuwasaidia kwa kila walichonacho.Kama wameshindwa watatokea watu dhaifu ndani ya Palestina yenyewe watakaoiangamiza Israel na kila mmoja atakayekuwa hai atashangaa na itakuwa ni hasara kwa wale waliokaa kimya wakati wenzao wakiteseka.
Unakumbuka ubabe wa Firauni na jinsi alivyoishia na unakumbuka namna Daudi alivyomuangamiza Jalutt.Wote hawakuamini!
 
Back
Top Bottom