Nicely presented👏👏She is right, he can be impeached by the House but in order to be removed from office, the Senate has to approve the move but after holding a trial.View attachment 1289489
Sema ndio hivyo, mchakato ni wa kisiasa na wamegawanyika along party lines. Senate ipo controlled na Republicans kwahiyo it is highly unlikely wamkute na makosa.
Kwahiyo Trump kuondolewa ni vigumu mno na to be realistic, haiwezekani.
laana ni kwenu nyinyi mnapigana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe tena kwa kusema Allah AKBAR. Shia hawezi kukatiza mitaa ya sunni.
Hii siyo sisi bali ni nyinyi mnaochochea kwa tamaa ya kuishi duniani kwa raha kubwa.Haikuwa hivyo Iraq.Libya na kwengine mpaka pale nyinyi mlipojipenyeza na kuwashika akili vijana wajinga mnaonza kwa kuwalewesha kwa madawa ya kulevya.
Hata pale juhudi za kupatana waislamu zikikaribia kufanikiwa huwa nyinyi mnazikwamisha kwa mambo ya kichochezi.Mfano pale visima vya mafuta vya Saudia mlipovipiga mabomu ili Saudia apigane na Iran.
you never got my point pls, impeachment can only go thro after senate votes, congress cant impeache the president, so the final decision to impeache trump is with the senate, so my point was very simple if the senate impeaches trump HE CANT REMAIN IN POWER, that was my point sirShe is right, he can be impeached by the House but in order to be removed from office, the Senate has to approve the move but after holding a trial.View attachment 1289489
Sema ndio hivyo, mchakato ni wa kisiasa na wamegawanyika along party lines. Senate ipo controlled na Republicans kwahiyo it is highly unlikely wamkute na makosa.
Kwahiyo Trump kuondolewa ni vigumu mno na to be realistic, haiwezekani.
Mkuu,you never got my point pls, impeachment can only go thro after senate votes, congress cant impeache the president, so the final decision to impeache trump is with the senate, so my point was very simple if the senate impeaches trump HE CANT REMAIN IN POWER, that was my point sir
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mkuu, mambo mengine myaache kwa wao tuSera zao ndizo zinazotukaribisha huku.Huko kwetu wakitupiga mabomu wapi tutakwenda kama si huku.
Kwa vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mkuu, mambo mengine myaache kwa wao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Laana hakuna kitu kinaitwa laana dunia ya Mungu.Ijue misingi ya hicho kinachoitwa laana ndo elete hoja hapa.La sivyoManeno haya ndio yanageuka baraka kwa TrumpKama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.
Kama ikitokea hivyo pia itakuwa ni muendelezo huo huo wa laana ambayo sasa itakuwa inateremka chini kwa raia wa Marekani ambao wengi wao wanaona sawa wanachi wa nchi nyengine hasa za kiislamu kudhalilishwa.Zamu yao ya kudhalilika ni sawa mpaka watakuwa na hofu ya kudondoshewa kombora na mataifa madogo yenye njaa kama Korea Kaskazini.
Kwa maana hiyo Trump akishindikana kuondolewa basi laana itakuwa kubwaa zaidi.Usfanye mchezo na dua za wenye kudhulumiwa.Majibu yake wakati mwengine huchelewa tu lakini hayampendelei mwenye anayejifanya jabari na kudhulumu wengine.
Kwa vile sisi binadamu tunaishi umri mfupi ndio maana mwaka 1945 mpaka leo unaona ni muda mrefu.Kwa Mwenyezi Mungu huu muda ni mfupi mno.Na unapoona jambazi fulani linaendelea na ubaya wake kila siku na bado kuendelea kuvuta hewa safi na kula chakula akipendacho na kulala na kuamka.Hizo ni huruma za Mwenyezi Mungu kumpa muda kufikiri juu ya uovu wake kwa kusikia watu wanavyodhurika na ujambazi wake na malalamiko yao.Akisdhindwa kutumia vizuri fursa hiyo hatimae huondoka mtupu na kwa hali ya fedheha.Us wameonea watu kibao, wameua sana huko Vietnam, Iraq, Libya, South America wamekichafua sana kuua pande zote za dunia kwa vita na magonjwa ya kutengeneza Laboratory ,kama kweli laana inafika kwanini hawajaanguka tangia wameanza huo ushenzi wao 1945 hadi sasa!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wetu sisi na nyinyi ni Allah ambaye hana sifa ya kushindwa na chochote. Uendaji wake naona ndio unaokutatiza kwani unavyochukia wewe na kupenda ni tofauti na yeye aliyekuumba.Wewe unapochukia povu linakutoka na suluhisho unaona ni kpigana na aliyekuudhi na hata akifa hujali.Mwenyezi Mungu ni mwingi wa hekima na rehema.Sasa huyo Mungu ameshindwa kuwasaidia palestina..Ndio ataweza kweli kutoa laana kwa Hao ambao mnawaita watesi wa wa-palestina
Sent using Jamii Forums mobile app