Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.

who cares.
 
Hizo ni ndoto za maskini. Laana haziwapati Matajiri. Tafuta hela dogo!
 
Unasema kila unaemsikia anamuongelea vibaya Diamond...?
Itakuwa unaamua wa kuwasikia tena haswa wanaomuingelea vbaya.
 
.
IMG_20210612_155145.jpg
 
Back
Top Bottom