Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
Tafuteni kazi muongeze vipato
 
Amini unachoamini lakini navojua ata maandiko yalieleza ktk biblia nimesahau kitabu laana isokuwa na sababu haishiki, mtu tu kisa anamlala mama eti laana imshike haipoooo na haitatokea labda km hujui wa kutoa laana ni kina nan
MIT. :26:2
Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
 
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
Sikukuu ya idd kamtumia mkwanja, mzee katoa sadaka kalisha majirani, Ila kwanza alimuuliza we nani mi fulani, Ila pesa kapokea.
 
Aisee poreee sana mimi ni msema ukweriii nanitasema ukweriii. Umekosa point ya kuandika
 
Back
Top Bottom