Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa hiyo wewe peke yako ndio unawajua wachina ? Hakuna kampuni ya kimataifa inaruhusu Child labor bidhaa zake na huduma zake zitapigwa sanctions worldwideUmewahi kufanya kazi na wachina? Km hujawahi Bora unyamaze maana huwajui wachina
Nashukuru Kwa mfano huu Wa kina Messi na Ronaldo.Bongo wengi hawatakuelewa kwa sababu hawajui nchi zilizoendelea watu wanavyofanya kazi. Kwa kifupi waambie ni kama mpira wa miguu. Kwa nini mchezeji mwenye mika 35 anakosa stamina na anaitwa mzee wakati miaka 20 ana soko zaidi?
Acha mifano ya kipuuzi child labor ni kosa kisheria hakuna kampuni inayo jielewa inafanya ujinga huoKwa hio unataka kusemaje?
Hilo la Child labour Achana nalo.Kwa hiyo wewe peke yako ndio unawajua wachina ? Hakuna kampuni ya kimataifa inaruhusu Child labor bidhaa zake na huduma zake zitapigwa sanctions worldwide
Ritirement age ya China ni miaka mingapi ?
Tatizo linalo wasumbua China sasa ni unemployment rate kuwa kubwa kutokana na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia, mishara kupanda n.k huu unao andika wewe ni umbeaSio hoja ya umri. China shahada ya kwanza watu wanapata wakiwa na umri wa miaka 22.
Kwa Ivo Kwa staili ya kufanyakazi Kwa masaa 12+ mfululizo Kwa miaka 10 siyo kitu kidogo.
Hili ni tatizo na ndiyo maana chama cha Kikomunisti china kimelijadili.
Haswa wabongo tena wanawake wakifika miaka hiyo ni hatari sana kama kazi ni za mwanzo mwisho mtu tayar ana watoto kama 3 , mtoto mmoja akiumwa tu anaomba ruhusu kwenda nyumbani yaani tafarani.Waongezee na jingine... Watu wenye zaidi ya miaka 35 wengi wanakuwa wana familia hivyo wanakuwa na majukumu mengine ya nyumbani wakati vijana eg miaka 20 wengi hawajaoa na hawana majukumu.
story za vijiweni mkuu...muambie akuwekee link ya hiyo habariKuna kitu sijakielewa. Kama nguvu kazi ni chache mpk kufikia kuongeza muda wa kazi inakuwaje mtu wa miaka 35 akaonekana hafai kuwa kazini wakati kuna uhitaji wa nguvu kazi?
Jee umemtafuta hii habari ukaona ni umbea?Tatizo linalo wasumbua China sasa ni unemployment rate kuwa kubwa kutokana na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia, mishara kupanda n.k huu unao andika wewe ni umbea
China, Japan, Korea wanafanya kazi ngumu na kwa muda mrefu hilo halina ubishi ndio maana kwao miaka kuanzia 55 ni ukingoni ila sio 35Hilo la Child labour Achana nalo.
Jee kufanya kazi ngumu na yenye shinikizo la kutaka ubora ni jambo rahisi?
Nikiweka??story za vijiweni mkuu...muambie akuwekee link ya hiyo habari
Mkuu niliwahi kuongea na mchina mmoja miaka ya nyuma. Nilikuwa nasoma IT chuo nikiwa na miaka 30. Akanicheka kweli kweli akanimbia miaka zaidi ya 35 kufanya kazi za IT ufanisi unakuwa mdogo wa sababu mind yako inakuwa siyo sharp. Kitu ambacho nakubali ni kuwa kazi nyingi zinazohitaji kufikiria na ku-react kwa haraka kama kutusha ndege za kivita, udereva wa magari ya mashindano kama formula one, etc miaka 35 watu wanaanza kufikiria kustaafu. Hili ni suala la kitaalam kabisa.Nashukuru Kwa mfano huu Wa kina Messi na Ronaldo.
Halafu kwani bongo tunafanya kazi basi. Blah! Blah! Nyingi sana.
Dogo huu unaoandika ni umbea wa kimataifaJee umemtafuta hii habari ukaona ni umbea?
Yaani kukiwa na "unemployment" ndiyo "age curse" haiwezi kuwepo?
Mbona unajizuia kufikiri sawa sawa??
Ongeza na misiba. Utasikia shangazi mzaa mama kwa upande wa baba mkwe amefariki, nakwenda kuzika.Haswa wabongo tena wanawake wakifika miaka hiyo ni hatari sana kama kazi ni za mwanzo mwisho mtu tayar ana watoto kama 3 , mtoto mmoja akiumwa tu anaomba ruhusu kwenda nyumbani yaani tafarani.
Kila siku wana excuses balaa tu hata akiumwa mafua anaomba ruhusa.Ongeza na misiba. Utasikia shangazi mzaa mama kwa upande wa baba mkwe amefariki, nakwenda kuzika.
Halafu watu wanadhani kile wanachokijua wao tu ndiyo ukweli Wa dunia.Kila siku wana excuses balaa tu hata akiumwa mafua anaomba ruhusa.
Kweny uchapakazi ni mtihani sana haswa hapa bongo ni ujanja ujanja tu hamna cha maana.Halafu watu wanadhani kile wanachokijua wao tu ndiyo ukweli Wa dunia.
Mtu anafika kazini Kwa kuchelewa halafu anaanza kusimuliana na wenzake mechi ya Jana yake.