Laana ya Umri inavyoitafuna China

Laana ya Umri inavyoitafuna China

Bongo wengi hawatakuelewa kwa sababu hawajui nchi zilizoendelea watu wanavyofanya kazi. Kwa kifupi waambie ni kama mpira wa miguu. Kwa nini mchezeji mwenye mika 35 anakosa stamina na anaitwa mzee wakati miaka 20 ana soko zaidi?
Nashukuru Kwa mfano huu Wa kina Messi na Ronaldo.

Halafu kwani bongo tunafanya kazi basi. Blah! Blah! Nyingi sana.
 
Kwa hiyo wewe peke yako ndio unawajua wachina ? Hakuna kampuni ya kimataifa inaruhusu Child labor bidhaa zake na huduma zake zitapigwa sanctions worldwide
Hilo la Child labour Achana nalo.

Jee kufanya kazi ngumu na yenye shinikizo la kutaka ubora ni jambo rahisi?
 
Sio hoja ya umri. China shahada ya kwanza watu wanapata wakiwa na umri wa miaka 22.

Kwa Ivo Kwa staili ya kufanyakazi Kwa masaa 12+ mfululizo Kwa miaka 10 siyo kitu kidogo.

Hili ni tatizo na ndiyo maana chama cha Kikomunisti china kimelijadili.
Tatizo linalo wasumbua China sasa ni unemployment rate kuwa kubwa kutokana na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia, mishara kupanda n.k huu unao andika wewe ni umbea
 
Waongezee na jingine... Watu wenye zaidi ya miaka 35 wengi wanakuwa wana familia hivyo wanakuwa na majukumu mengine ya nyumbani wakati vijana eg miaka 20 wengi hawajaoa na hawana majukumu.
Haswa wabongo tena wanawake wakifika miaka hiyo ni hatari sana kama kazi ni za mwanzo mwisho mtu tayar ana watoto kama 3 , mtoto mmoja akiumwa tu anaomba ruhusu kwenda nyumbani yaani tafarani.
 
Kuna kitu sijakielewa. Kama nguvu kazi ni chache mpk kufikia kuongeza muda wa kazi inakuwaje mtu wa miaka 35 akaonekana hafai kuwa kazini wakati kuna uhitaji wa nguvu kazi?
story za vijiweni mkuu...muambie akuwekee link ya hiyo habari
 
Tatizo linalo wasumbua China sasa ni unemployment rate kuwa kubwa kutokana na mapinduzi makubwa ya kiteknolojia, mishara kupanda n.k huu unao andika wewe ni umbea
Jee umemtafuta hii habari ukaona ni umbea?

Yaani kukiwa na "unemployment" ndiyo "age curse" haiwezi kuwepo?

Mbona unajizuia kufikiri sawa sawa??
 
Hilo la Child labour Achana nalo.

Jee kufanya kazi ngumu na yenye shinikizo la kutaka ubora ni jambo rahisi?
China, Japan, Korea wanafanya kazi ngumu na kwa muda mrefu hilo halina ubishi ndio maana kwao miaka kuanzia 55 ni ukingoni ila sio 35
 
Nashukuru Kwa mfano huu Wa kina Messi na Ronaldo.

Halafu kwani bongo tunafanya kazi basi. Blah! Blah! Nyingi sana.
Mkuu niliwahi kuongea na mchina mmoja miaka ya nyuma. Nilikuwa nasoma IT chuo nikiwa na miaka 30. Akanicheka kweli kweli akanimbia miaka zaidi ya 35 kufanya kazi za IT ufanisi unakuwa mdogo wa sababu mind yako inakuwa siyo sharp. Kitu ambacho nakubali ni kuwa kazi nyingi zinazohitaji kufikiria na ku-react kwa haraka kama kutusha ndege za kivita, udereva wa magari ya mashindano kama formula one, etc miaka 35 watu wanaanza kufikiria kustaafu. Hili ni suala la kitaalam kabisa.
 
Haswa wabongo tena wanawake wakifika miaka hiyo ni hatari sana kama kazi ni za mwanzo mwisho mtu tayar ana watoto kama 3 , mtoto mmoja akiumwa tu anaomba ruhusu kwenda nyumbani yaani tafarani.
Ongeza na misiba. Utasikia shangazi mzaa mama kwa upande wa baba mkwe amefariki, nakwenda kuzika.
 
Halafu watu wanadhani kile wanachokijua wao tu ndiyo ukweli Wa dunia.

Mtu anafika kazini Kwa kuchelewa halafu anaanza kusimuliana na wenzake mechi ya Jana yake.
Kweny uchapakazi ni mtihani sana haswa hapa bongo ni ujanja ujanja tu hamna cha maana.
 
Back
Top Bottom