Laana ya Umri inavyoitafuna China

Kweny uchapakazi ni mtihani sana haswa hapa bongo ni ujanja ujanja tu hamna cha maana.
Norway walipotaka kuongeza umri wa kustaafu watu walikataa.

Haiwezekani mtu ufanye kazi kwa bidii halafu uweze kuendelea kufanya kazi hiyo ukiwa na umri wa zaidi ya miaka 60.
 
Hii pia nimewahi kuisoma kwa mwana jf mmoja anaitwa Habib ni mtu Wa hadith nyingi, makala na machapisho, alikuwa akiongelea mambo ya mosad, shirika la kijasusi la Israel, anadai kwenye mambo ya tehema na habari za udukuzi wanachukua vijana wakiwa teenage, wanakuwa trained wanafanya kazi zao wakifika at 20's wanastaafu wanaajiriwa kwenye taasisi za kiraia kubwa kubwa such as Google huko na kwingineko


Ki-IT na Mimi pia nakubali mtoto Wa miaka 16 anaechemka vizuri kichwani anajua hisabati vizuri ukimsomesha kwa muda Wa miaka 7 tehama akifika miaka 23 asee atakuwa wamoto sana then anakufanyia kazi miaka 10 akiwa wamoto na akiendelea kuwa Wa moto zaidi kadiri anavyoendelea kufanya kazi

Lakini utu uzima kuwaza majukumu na nini kuna vitu vipya sana utatakiwa ujifunze ukiwa kazini ila wewe utakuwa unavipiga chini na pia utu uzima unakuja sana na u-technophobia kwetu sisi watu weusi unless ulikuwa unapenda mambo ya technology toka ukiwa kijana


Nimepita huko mashuleni nimeona siku hizi wana mifumo mbali mbali waliyopewa toka tamisemi kama prem, nahisi ni mfumo unaohifadhi taarifa za wanafunzi unafanya usajili kadhalika transfer kwa wanafunzi ila wakuu wengi Wa shule hawajui baadhi yao hata kufanya simple operation katika system hata kum transfer mwanafunzi na wamewaachia vijana, sio kwamba wame deligate power!, no hawajui na wanaogopa, sio wote ila wengi wao

Binafsi naona kwenye masuala ya technology vijana wetu wananza wakiwa watu wazima sana, kuanza Chuo (say) computer science ukiwa na miaka 22 binafsi naona ni miaka mingi sana hiyo katika technology field tena mingi mno

Kijana aanze akiwa 18 hivi naona ni nzuri zaidi
 
Kuna kitu sijakielewa. Kama nguvu kazi ni chache mpk kufikia kuongeza muda wa kazi inakuwaje mtu wa miaka 35 akaonekana hafai kuwa kazini wakati kuna uhitaji wa nguvu kazi?

Labda wote ni athlets .. wasakata kabumbu au wafukuza upepo maana bi kwenyw michezo tu ndo umri unaonekana changamoto...

Nafikiri mtoa mada akafanye tena utafuti habar yake inajikanganya yenyewe
 
Sawa mkuu, hapo nimekuelewa🙆🏻‍♂️
 
Labda wote ni athlets .. wasakata kabumbu au wafukuza upepo maana bi kwenyw michezo tu ndo umri unaonekana changamoto...

Nafikiri mtoa mada akafanye tena utafuti habar yake inajikanganya yenyewe
Aisee!!

Hapo nikafanye utafiti kuhusu nini tena?

Mada inajieleza kama kutokueleweka basi si tatizo la mada bali msoma mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…