Kwa viongozi wa kitaifa kuapa Kwa Mungu kwa kutumia vitabu vitakatifu ni nadhiri kubwa sana wanaweka kwa Mungu. Sasa inapotokea wanakiuka kiapo chao inakuwa pia wamekiuka nadhiri waliyoweka na Mungu. Na hapo ndipo shida inapoanzia,taifa linaingia kwenye mambo magumu,taifa haliendelei,mikataba ya hovyo kama vile imefanywa na mtoto wa std7 n.k Viongozi wetu ingieni kwenye Toba na mkatende haki kama mlivyoapa kwa Mungu.Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
Kama ni hivyo yangelaniwa maccm maana huapa kwa bible na Quran na yanavunja viapo kesho na yanapiga bata na kuwarithisha vitengo na fursa nyeti vijana wao na wanaendelea kula mema ya TanzaniaMtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
AmiinKwa viongozi wa kitaifa kuapa Kwa Mungu kwa kutumia vitabu vitakatifu ni nadhiri kubwa sana wanaweka kwa Mungu. Sasa inapotokea wanakiuka kiapo chao inakuwa pia wamekiuka nadhiri waliyoweka na Mungu. Na hapo ndipo shida inapoanzia,taifa linaingia kwenye mambo magumu,taifa haliendelei,mikataba ya hovyo kama vile imefanywa na mtoto wa std7 n.k Viongozi wetu ingieni kwenye Toba na mkatende haki kama mlivyoapa kwa Mungu.
[emoji419][emoji419][emoji375]Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..
Huku wakienda kinyume na ahadi walizozitoa na hakuna kitu wanapata .
Kama ni magonjwa ata wasio apa wanayapata.
HeMtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
Lakini Mapene si yapo?Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI
Ndio maana vile vitabu vinaanza kudharaulika.Wabunge na waziri kila siku wana apa na hayo mavitabu na wanakula bata na ma v8 kila siku ..
Huku wakienda kinyume na ahadi walizozitoa na hakuna kitu wanapata .
Kama ni magonjwa ata wasio apa wanayapata.
Wewe utaona hakuna kitu kinawapata....lakini wako kwenye mateso ya hali ya juu sana.Ndio maana vile vitabu vinaanza kudharaulika.
Ni kama havina nguvu ile tunayoambiwa inavyo.
Devine Power kwenye vile vitabu ni Utapeli tu mi naona.
Maana wanavitumia kuapa ili kuagana na kuahidi Uaminifu. Lakini wanavunja na hakuna kitu kinawapata.