nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.
Nini suluhisho.
ALAMSIKI